kakabahati
Member
- Oct 28, 2013
- 62
- 23
Jaman nna shamba langu huko rufiji kata ya kitembo,sasa nlikuwa naomba kama kuna surveyor humu ndan akansaidie kupima nsije nkawa nmenunua eneo la makaburi.....!!!

Niulize mimi pia. maeneo yangu hayo...Kaka naomba number yako nataka kujua baadhi ya mambo