Naomba ushauri kuhusu petroleum engineering na geology

Naomba ushauri kuhusu petroleum engineering na geology

Harathony

Senior Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
179
Reaction score
156
Habari za majukumu wana jukwaa la siasa.poleni na hongereni kwa harakati za maisha ya kila siku hasa katka kuchambua sera za wagombea wetu ikiwa ndio tupo ukingoni kuelekea October.

Nimesoma mchepuo wa EGM (B+,B,B+) nimemaliza mwaka 2014 na nimefaulu lakini tatizo lang kbwa ni katika kchagua kozi ya kusoma chuo.lakini natamani nisome masuala a petroleum pale UDOM mana nimeona vigezo ninavyo vya kudahiliwa pale mana wanahitaji two principle pass kati ya masomo yafuatayo; PHYSICS,ADV MATH,GEOGRAPHY& CHEMISTRY. Au nikasome bachelor of science with GEOLOGY-UDSM

Je,kutokana na mchepuo wangu wa EGM changamoto gani naweza kukumbana nazo endapo nitapata nafasi hiyo ya kusoma mambo ya petroleum?

na changamoto zipi kama nitachaguliwa Geology?
 
Usichague kisa una vigezo tu chagua kusomea kitu unachokipenda. Follow your Passion
 
Back
Top Bottom