Acha kumtisha, kama ana imani basi akemee kisha aendelee na maisha hayatampata ....Wamekunyea,soon kibaruachako kinaota nyasi.Kkkkk[emoji38]
Am sor 😔Acha kumtisha, kama ana imani basi akemee kisha aendelee na maisha hayatampata ....
Hata mimi ndiyo nilivyoelewa. Ndoto yake ina tafsiri ya mafanikio. Watu wanatafsiri ndoto direct kumbe ndoto ni lugha inayotafsiriwa kitofauti sana na lugha yetu hii.Jibu ni dogo kaka, wewe soon unakua mtu muhimu na wakutegemewa kimaisha, kama ni uongo utanitafuta. Achana na hofu ndoto huja kinyume, kaaakwa amani mtukuze mungu mafanikio yanakuja, ukikaa na mwenye manukato nawe utanukia, aliekupaka hayo manukato ndio dira yako ya kunukia. Vibaya angekupaka perfum halisi ila hio ww kua na amani.
Mungu awe nawe.