pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 913
Yaahh mkuu n kweliUkipenda unaweza kumuweka ili ukiwa na ugwadu unamtafuta upunguze ugwadu lakini mapenzi uliyokuwa nayo yameshatoweka.
Hahahaaaaaaa acha nicheke tuuMwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada
Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji ,baadae akahamishwa na taasisi yake kwenda mkoa jirani,hata hivyo mapenzi yetu yalikuwa ya moto
Miezi michache baadae akaanza kuonyesha dalili za kutaka kiniacha,mara hajibu sms kwa wakati,hapokei sim,baadae nikachoka moyo binafsi ila nikafanya uchunguzi nikagundua ana mahusiano mengine na mtu mwingne nikaamua kuachana naye rasimi
Miezi 3 iliyopita nikiwa bize na harakati zangu,kuchek whasap nikakuta sms yake ikinijulia hali nami nikajibu fresh,baada ya siku tatu akanipigia sim akiniomba msamaha na maelezo kibao,sikumwelewa akamtumia rafiki yangu wa karibu akalialia akanishawishi basi nikamwambia nipe muda,kadri siku zinavyoenda mawasiliano yakawa ya karibu zaidi
Basi kwa kuwa moyo wangu ulikuwa unampenda huyo mwanamke ikabidi nianze kurudisha mahusiano
Lakini baada ya mwezi mmoja kupita nikaingia whasap kuperuzi nikakuta status yake ina watoto mapacha,nikamuuliza vipi wanao au akanijibu ndio nilijifungua mwezi uliopita
Alivyoniambia hivyo moyo wangu uliuma hatari sikumtafuta tena wala sikupokea simu yake wala sikujibu sms zake
Sms aliyonitumia ya mwisho ikasema hivi" Nilijua hunipendi tangu awali,huna mapenzi ya dhati,ungekuwa unanipenda upendo wako ungedhihirika kwenye kipindi hiki kigumu cha maisha yangu ,kumbuka hawa ni malaika tu hawana kosa ,ndio nimefanya makosa makosa kwani wewe huwezi ukafanya makosa ya kuzaa nje? "
Ila kimoyo moyo nami pia nimezaa nje mtoto mmoja
Wadau naomba ushauri
Ndomaaana mimi sijacomment nimeona bora nicheke tuAcha us**ng yani alikuacha akapata dume lingine limempiga mimba amezaa mapacha ndio anakutafuta umrudie na wewe et "Hata Mimi nimezaa nje" mbona unadhalilisha wanaume.
Mimi mwanamke akiniacha hata arudi kwa kutambaa simtaki
nasubiri akijibu hili kwanzaUmeachana miezi mitatu iliyopita leo hii kajifunga?
Hiyo mimba kapata lini
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna watu wana roho mbaya kama matope ya Rufiji dam. Pole sana asieeeeee. Omba siku ukipata mke usijekuta unalea mali ya ^Mzungu wa Pili^Wewe kiazi mbatata kweli. Yaani umekuwa na mwanamke kakutoka kaenda kuliwa kavu na mbegu zikamea aliyelima kakimbia. Acha ujinga wewe eti nawe umezaa nje mpuuzi sana wewe mrudie ambaye umezaa nae halafu huyo achana nae. Utaendaje kukaa na mtu aliyekutosa. Mara nyingine uwa naona simba dume wana akili sana marufuku kukaa na mbegu ambayo sio yake. USHAURI WANGU MGUMU ACHANA NA HUYO DADA WA MAPACHA.
Nimeanza kutaka kuanza kukaribia kuamini kuwa kuna watu & wanadamuMimi nachukia sana kukaa na mwanamke ambaye ana mtoto mwili uwa unasisimka. Kuna dada mmoja alikuwa mwanamke wangu akatoa mimba yangu nikachukia sana akapotea akaja kurudi akiwa na mtoto wa dume mwingine. Nilishindwa kabisa kumkubali yule mtoto mwili uligoma kbs. Nikamwambia siwezi kukaa nae na yule mtoto maana alishatoa mimba yangu inakuwaje nilee mtoto wa mtu mwingine.
Wewe unafaaa vibokoMwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada
Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji ,baadae akahamishwa na taasisi yake kwenda mkoa jirani,hata hivyo mapenzi yetu yalikuwa ya moto
Miezi michache baadae akaanza kuonyesha dalili za kutaka kiniacha,mara hajibu sms kwa wakati,hapokei sim,baadae nikachoka moyo binafsi ila nikafanya uchunguzi nikagundua ana mahusiano mengine na mtu mwingne nikaamua kuachana naye rasimi
Miezi 3 iliyopita nikiwa bize na harakati zangu,kuchek whasap nikakuta sms yake ikinijulia hali nami nikajibu fresh,baada ya siku tatu akanipigia sim akiniomba msamaha na maelezo kibao,sikumwelewa akamtumia rafiki yangu wa karibu akalialia akanishawishi basi nikamwambia nipe muda,kadri siku zinavyoenda mawasiliano yakawa ya karibu zaidi
Basi kwa kuwa moyo wangu ulikuwa unampenda huyo mwanamke ikabidi nianze kurudisha mahusiano
Lakini baada ya mwezi mmoja kupita nikaingia whasap kuperuzi nikakuta status yake ina watoto mapacha,nikamuuliza vipi wanao au akanijibu ndio nilijifungua mwezi uliopita
Alivyoniambia hivyo moyo wangu uliuma hatari sikumtafuta tena wala sikupokea simu yake wala sikujibu sms zake
Sms aliyonitumia ya mwisho ikasema hivi" Nilijua hunipendi tangu awali,huna mapenzi ya dhati,ungekuwa unanipenda upendo wako ungedhihirika kwenye kipindi hiki kigumu cha maisha yangu ,kumbuka hawa ni malaika tu hawana kosa ,ndio nimefanya makosa makosa kwani wewe huwezi ukafanya makosa ya kuzaa nje? "
Ila kimoyo moyo nami pia nimezaa nje mtoto mmoja
Wadau naomba ushauri
😂😂😂😂Msamehe tu. Anzisheni kindergarten school, zaeni zaeni hovyo kama panya Magufuli atawasomesha