BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Ukipenda unaweza kumuweka ili ukiwa na ugwadu unamtafuta upunguze ugwadu lakini mapenzi uliyokuwa nayo yameshatoweka.
Hv n kwa nn wadada wakiacha mtu hupenda kurudi. Huwa wana pima upepo au !!!!!!!!
Anyway
Na mm niliachwa mwezi sept baada ya mda alirudi, ila ukweli n kwamba mwanamke akikuacha ujue hakupendi kaa nae mbali na mm nilimzia gear hewani
Kheri yetu wanaume tutasema mm naona sijatulia bado nna mambo mengi ila sio mademu
