Naomba ushauri kuhusu Huawei P40 lite

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
202
Nimekutana na simu hiyo kama mtumba ya mwezi februari ila changamoto haina play store ila ina appGallery.

Pia katika kufuatilia nimeambiwa soon huawei wata lounge harmonyOS.

Wapenzi hii kitu vipi inaweza leta mushkeli hapo baadae ama niichukue
 
Nimekutana na simu hiyo kama mtumba ya mwezi februari ila changamoto haina play store ila ina appGallery
Pia katika kufuatilia nimeambiwa soon huawei wata lounge harmonyOS
Wapenzi hii kitu vipi inaweza leta mushkeli hapo baadae ama niichukue
Hutoweza itumia popote na haina integration ya apps za mabeberu kama IG, WhatsApp, Google, Drive. Utaambulia kina Tiktok na WeChat na apps za Kichina ambazo wabongo hatutumii.

Utanunua kiswaswadu chenye camera na game console badala ya smartphone kamili.
 
654390987.jpg
 
Nasubiri mgogoro wao uishe nihame kutoka p30 kuja kwenye hiyo. Kuna wajuzi wanasema uninstall kwa kuisearch kutoka mtandaoni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom