Huawei P series: Huawei P40, P40 Pro, P40 pro + A new Generation of Cameras

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,273
2,000
Mwishoni mwa mwezi March Kampuni ya Huawei imeendelea kutoa matoleo yao mapya ya simu kwa upande wa P series. Na kwa sasa wamekuja na P40 series ambapo wametoa Huawei P40 lite, P40 lite E, P40, P40 Pro na P40 Pro +.

Katika matoleo hayo, P40, P40 Pro na P40 Pro plus ndiyo preferrence ipo hapo.

Huawei P40
20200410_214317_rmscr-1.jpg
20200410_215104_rmscr-1-1.jpg


Specs za Huawei P40
Processor: Kirin 990 5G
RAM: 8GB & 12GB
ROM:128 & 256
EMUI: 10.1, adroid 10
Google Service: No google service
Rear Camera: -50MP + 16MP + 8MP
(50MP- Ultra Vision)
(16MP-Ultra wide)
(8MP-Telephoto)
Front Camera: 32MP, f/2.0, 26mm; 3D IR camera
Display: 6.1" OLED, 1,080x2,340px resolution (422ppi); 60Hz refresh rate; HDR10.
Water resistant: IP68 Rating
Wifi 6 plus
Battery: 3800mAh,wireless charging.

Huawei P40 Pro
20200410_225252_rmscr-1.jpg
20200410_223856_rmscr-1.jpg
20200410_223815_rmscr-1.jpg


Specs za Huawei P40 Pro

Processor: Kirin 990 5G
RAM: 8GB & 12GB
ROM:128GB & 256GB
EMUI: 10.1, adroid 10
Refresh rate: 90Hz
Google Service: No google service
Quad Rear Camera: 50MP ultra vision
40MP Cine camera
3D depth sensing
12 Super sensin Telephoto
Front camera: 32MP, Depth camera.
Display size: 6.58"OLED
Water resistant: Available
Wi-fi 6 plus
Battery: 4200mAh, 40W super charge,27 wireless charging, reverse wireless charging.

Huawei P40 Pro Plus
20200410_232115_rmscr-1.jpg

Huawei P40 Pro Plus inatarajiwa mwezi june inaweza kutoka rasmi, na inategemea kuwa na specs zifuatazo;
Processor: Kirin 990 5G
RAM: 8GB
ROM: 512GB
EMUI: 10.1, adroid 10
Google Service: No google service
Penta Rear camera: 50MP ultra vision
40MP cine camera
8MP super zoom
8MP telephoto camera
3D depth sensing
10x optical zoom
20x hybrid zoom
100x max zoom
Front camera: 32MP with depth camera
Refresh rate: 90Hz
Water resistant: iP68
Wifi 6 plus
Battery: 4200mAh, 40W fast charging, 40W wireless charging.

Addition:
20200410_234532_rmscr-1.jpg
20200410_234547_rmscr-1.jpg
20200410_234641_rmscr-2.jpg
20200410_234641_rmscr-1.jpg


Price for Huawei P40
International
128GB 6GB RAM
128GB 8GB RAM
256GB 8GB RAM
256GB 8GB RAM

Price for Huawei P40 Pro
International
128GB 8GB RAM
256GB 8GB RAM
512GB 8GB RAM
 

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,273
2,000
Jana nilikua naangalia unboxing ya Mrwhosetheboss ya P40 Pro+ na Mtaalam Marques Browniee ya P40 Pro, kule youtube...
Aloo ni kwikwi..
Naona P40 Pro+ naye kagonga 5000mAh.
Huawei kwa sasa matoleo yao yako makini sana, pamoja na kutokua na google play, bado ni washindani kwa brand za simu zingn..p40 pro+ ni habari nyingn katika ulimwengu wa smartphones

Ila bei mkasi sana
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,664
2,000
Huawei kwa sasa matoleo yao yako makini sana, pamoja na kutokua na google play, bado ni washindani kwa brand za simu zingn..p40 pro+ ni habari nyingn katika ulimwengu wa smartphones

Ila bei mkasi sana
Halaf nashindwa kuelewa hii imekaaje, maana ukiingia GSM arena kuangalia specs Kwenye platform OS, Main OS inaonesha wanatumia Android 10, japo sasa inakua modified na kuongezewa Huawei EMUI 10.1
 

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,273
2,000
Halaf nashindwa kuelewa hii imekaaje, maana ukiingia GSM arena kuangalia specs Kwenye platform OS, Main OS inaonesha wanatumia Android 10, japo sasa inakua modified na kuongezewa Huawei EMUI 10.1
Huawei si bado wanatumia operating system ya adroid ndy maana nahic hii ya P40 series wanaita adroid 10 based EMUI 10.1 na hawatumii hii ya kwao ya HarmonyOs.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom