kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,744
- 25,562
Habari ndugu zangu?
Kama walivyojaribu bahati zao watanzania wenzangu katika kufanya interview utumishi kwa ajili ya TRA basi nami nilijaribu bahati yangu na matokeo yametoka leo na namshukuru mwenyezi Mungu nimefaulu paper zote mbili yaani tax na custom.
Hivyo nauliza katika oral interview naruhusiwa kufanya kwa posts zote maana nimepangiwa tarehe tofauti tofauti?
Asanteni