Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

Mkishafanikisha kazi TRA mkavaa vle vitai ka ulimi wa Paka mnajiona kumpita Yesu
Kila unaekurana nae unakunja sura kama mnakamuliwa jipu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Swali gani hilo sasa?
Yaani kitendo cha kuona umeshafaulu na kuanza kuona kama umeshachaguliwa, inatosha kukunyima nafasi. Au umefaulu peke yako?

Wewe kafanye interview zote. Ukipata ndio uje hapa upewe ushairi na walio na uzoefu wa hiyo kazi utakayokuwa umepata.
 
Mi nahic huyu kyagata anafikir kama kazi ndo keshapata, lkn ni motive nzuri coz penye nia pana njia. Ila naona dogo km ana wenge flan hiv la kuingia kwenye mchujo wa pili, huku ukifikiria nyomi la tra lilivyokuwa. Cha msing akaze tu
 
kafanye zote mie nilichaguliwa mbili na utumishi kwenda pratical 2 nikapita zote ila baadae wakanila kichwa moja na moja ndio nikapata.
 
Kuna mdogo wangu pia kafaulu zote mbili. Sasa sijui wengine waende wapi
 
Back
Top Bottom