Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

Kumbe hizi gari matata sana eeh?!
 
Hahahahaha Mleta uzi kila akiulizwa gharama full mpaka mlangoni analiruka swali
 
Nimepata faida sana. Maana nilikuwa natafuta gari used kwa ajili ya offroad na jamaa yangu anataka kuniuzia hii gari nikawa na kauoga asije akaniuzia ugonjwa wa moyo. Asanteni sana sasa naenda kumlipa bila shaka.
 
Hiyo 5w-30 haiaribu gari bali gari yenyewe tu kimeo
 
Thread inanichosha Sana hii,maana mtu mmoja ana ID kibao.Huku anasema nimenunua bighorn,kwa ID yake nyingine anakuja kuuliza vp chombo kinaendeleaje?anakuja tena kwa ID nyingine anaelezea ubora wake bighorn.

Inachosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…