Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,923
- 6,171
Inawezekana mkuu ...Hv kuna uwezekano wa kutembelea injini bila bodi?
U
Inawezekana mkuu ...Hv kuna uwezekano wa kutembelea injini bila bodi?
Kumbe hizi gari matata sana eeh?!Gari iko vizuri hiyo, hakikisha unanunua inayotumia diesel, ulaji wa mafuta uko vizuri 13km/L. Mafundi wapo wa kutosha kutokana na tatizo. Iko sensitive sana na Engine Oil, lazma uweke inayofaa. Haitaki mafundi uchwar. Inakimbia sana kama una roho nyepesi unamaliza zote 180km/h.
Mimi ninayo ya mwaka 2000, 4JX1 Turbo Engine, Manual Transmission tangu 2013.
View attachment 399074 View attachment 399075 View attachment 399077
Mpaka nakabidhiwa chombo nilitumia 23.5m Tsh.....Mkuu hii BIGHORN ni full raha. Hakuna demu anaenikataaUliifikisha TZ kwa Bei gani mkuu? Na mafuta inakulaje?
Soma vizuri boss mbona nimesema top kabisa nilitumia 23.5m tsh ni ya mwaka 2001/10...tra walinichanja 7.8m bila hurumaHahahahaha Mleta uzi kila akiulizwa gharama full mpaka mlangoni analiruka swali
Nimepata faida sana. Maana nilikuwa natafuta gari used kwa ajili ya offroad na jamaa yangu anataka kuniuzia hii gari nikawa na kauoga asije akaniuzia ugonjwa wa moyo. Asanteni sana sasa naenda kumlipa bila shaka.Hii gari imetulia sana,tatizo wabongo tunafata mkumbo bila kupima wenyewe ubora wa gari kila mtu utamsikia anazungumzia Toyota.
kwa kifupi kama unataka kunuinunua hii gari nakushauri nunua tena kwa roho safiiiii hutajuta kamwe.ukiweza tafuta inayotumia diesel ya kuanzia mwaka 2002 na kuendelea.yenye engine aina ya 4jx1,hapo ni mkataba kabisa.
Angalizo ni kwamba hii engine inatumia oil number 5W30 ni nyepesi kama maji na usije ukaweka oil tofauti na hiyo kamwe! ukiweka oil tofauti ndio umeua engine.
Hiyo 5w-30 haiaribu gari bali gari yenyewe tu kimeoNimepata faida sana. Maana nilikuwa natafuta gari used kwa ajili ya offroad na jamaa yangu anataka kuniuzia hii gari nikawa na kauoga asije akaniuzia ugonjwa wa moyo. Asanteni sana sasa naenda kumlipa bila shaka.
How?Gari bovu hilo usirogwe
Off road unaenda mara ngapi kwa mwaka?Natumia sasa hivi mwaka 5, sijawahi kujuta.
Ni nzuri sana kwa off road trip
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hiyo 5w-30 haiaribu gari bali gari yenyewe tu kimeo
Tupe mrejesho mkuuWakuu nimechungulia Be Forward wanayo ya 2,990 cc. 4WD ya 1998 diesel Engine code: 4JX1 kwa 2700 CIF kesho naenda kutuma pesa ili nijihakikishie chombo. Swift Bye bye Sina Habarrriiii
Chombo Disemba umeenda Moshi na kurud. Tusubir ichemsheTupe mrejesho mkuu
Ha ha haChombo Disemba umeenda Moshi na kurud. Tusubir ichemshe