Naomba ushauri kuhusu flat TV

Kwa ivo jamaa yangu huniamini hadi umekuja kuuliza huku?si uliniuliza kila kitu nikakujibu?hatuaminiani sheikh wangu!?
 
Sasa stat x inch 32 piruu ni 350k mwaka 2017
Chup mtumba
Nguo mtumba
Mke mtumba
Mpaka na TV tena duuu
 
Mkuu hata jina la flat ni shida kuandika?? Hapo kupigwa lazima
 
sawa kaka kwani shida inaweza kuwepo eeh na sio kuwa yy alilazimisha kuniuzia mm ndo nilimlazimisha na ni mwaminifu
Usije uziwa li plasma tv la zaman linakula umeme kama machine ya kuchomelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…