Naomba ushauri kuhusu diploma ya mechanics!

Mlt

Member
Jun 22, 2017
33
14
Naomba ushauri nataka nikasome diploma ya mechanics!! Sasa sijui kama kwa upande wa ajira itakuwa poa au la!! Ushaur wenu muhuni kwangu
 
sasa mkuu unasoma ili ukaajiriwe..kwa nini usiwaze na kujiajiri...

Anyways nisikukatishe tamaa, kama unaona uko fit nenda kasomee uwe na fani yako..mambo yatajipa huko mbele huwezi kujua
 
  • Thanks
Reactions: Mlt
Kasome civil engineering piga chini hiyo mechanical
But kama ni passion yako haswa kasome hiyo hiyo mechanical
 
Back
Top Bottom