Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 340
Naamini Mungu ni mmoja, kokote unakojisikia kuguswa nako zaidi, fata huko huko.Mimi ni muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikua napenda wakati
Duh kaka..[emoji16][emoji16]Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
Hivi kumbe Kuna dini ya haki na kweli?Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
Nani kakuambia sina hela?Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
ShukranNaamini mungu ni mmoja, kokote unakojisikia kuguswa nako zaidi, fata huko huko.
Nachanganyikiwa mie hata nikiomba sielewi kama maombi yangu yanabarakaHakuna ulazima wa kubadili dini kwani hata ukifa leo hutaenda kuulizwa dini. Lakini naona Neema ya Mungu inakuita umuabudu Mungu katika Kristo Yesu. Nakushauri Sikiliza hiyo sauti
Asante kwakwel!Pole mkuu
Usije kwa mkwara mkuu! Nimekuja hapa kuomba ushauri pengine usome tena uelewe! Niko njia panda, hata wewe unayejiita muislam unaweza kuwa kafiri vilevile nadhani unajua kama kwel unaujua huo uislam, sitak kubishana na wewe badala yake kutokana na nilichohadithia hapo nishauri tu.Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Bado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??YESU KRISTO NI NJIA, KWELI NA UZIMA...
Umefanya uamuzi sahihi kuwa Mkristo!
Kutokana na nikichoeleza hapo ndiyo nataman sana kuchanganya na mawazo yenu wakuu hapaUkibadili dini ukawa mkristo utakuwa umechagua njia ya kweli na uzima.
YESU akuongoze
Kwasababu zip?Upo sahihi kabisa ndugu na tena Mungu anataka umjue kupitia Yesu Kristo, endelea kuwa mkristo tena shika imani yako vizuri kabisa nawe utakuwa na amani tele na kuupata ufalme wa mbinguni mwishowe. Ubarikiwe!