Naomba ushauri kuhusu biashara

Naomba ushauri kuhusu biashara

Harmoraj

Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
50
Reaction score
54
1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri

2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
 
jazia nyama basi usiwe mvivu
upo mkoa gani kwanza?
 
1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri

2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
Anza na unachokipenda kwanza, we ndani ya nafsi yako unapenda kufanya shughuli gani? Kabla haujapata mawazo ya watu
 
Back
Top Bottom