mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Habari za asubuhi wana jamvi.
Wiki kadhaa zilizopita chuo kikuu KCMC walitangaza nafasi za tutorial assistants na assistant lecturers wa kada mbalimbali. Mimi binafsi nilituma maombi ya nafasi mbili yaani assistant lecturer in epidemiology na assistant lecturer in public health ambazo nilizipenda zaidi na nimetimiza vigezo vyao. Binafsi nina elimu ngazi ya uzamili (masters in public health). Ningependa kujua mambo yafuatayo maana naamini kuna wataalamu na wazoefu ambao wanaweza kuwa na msaada kwangu kutimiza lengo.
1. wanatumia vigezo gani katika kuchagua watu wa kuwaita interview? je wanaita wote waliotimiza "minimum requirements" au kuna criteria nyingine eg. work experience, performance etc.
2. interview katika academia zipo katika format gani (specifically KCMUCO), je ni sawa na hizi za kwenye mashirika au zina tofauti fulani.
3. vitu gani vya msingi vya kuzingatia wakati wa interview.
4. Je, nafasi hizi zia ushindani mkubwa sana? na je suala la "connections" linatumika sana kwenye hizi nafasi za academia (specifically KCMUCo)?
5. Mambo mengineyo/ushauri na mawazo mbalimbali yanayoweza kuwa na mchango kwangu kufanikisha azma hio.
Mwisho ninaamini kwa mawazo yenu na ushauri wenu nitafanikisha ndoto yangu hii. Lakini pia binafsi ninajiamini na naamini katika uwezo wangu wa kitaaluma na nina hostoria nzuri kitaaluma mfano nilikua mwanafunzi bora A level, mwanafunzi bora katika research katika shahada ya kwanza, na mwisho mwanafunzi bora katika shahada ya ili (best fnal year student in master of public health - Muhimbili University)
Ntanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.