NAOMBA USHAURI JUU YA UCC Vz LEARN IT

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,324
5,556
Ndugu zangu, naomba kujua chuo kizuri kati ya udsm computer center na learn it. Nataka nimpleke kijana aliyemaliza form four akajifunze computer application hasa course ya international computer driving lincence. Je wapi ni pazuri kwa kijana kama huyu kumpleka?? Naomba ushauri wenu wapi nimpleke.
 
Jamani, hakuna aliyesoma hivyo vyuo akanipa taarifa kidogo ili nifanye maamuzi??

Asante
 
Ushauri ninaokupa ni wa kweli nimewahi kupita hapo UCC pako poor,jaribu Learn IT,
 
je karo ya new horizons ni sh ngapi kwa kozi hizo za beginners? Je sifa kubwa ya new Horizons ninini ukilinganisha na LEARNIT?
nipeni ushauri wadau ili nafanye maamuzi ya Busara
 
Back
Top Bottom