Naomba ushauri juu ya mimba isiyo na baba

Baki na mume wako wanaume wako wachache sana siku hizi..uliza rombo
 
MWANAMKE HAPIGWI!
Usipomwambia mume wako,utakuwa hukitendei haki kiumbe ulichokibeba. Itakuwaje mtoto akikua bila kumfahamu baba? Uko tayari kwa hilo? Kumbuka unaye mtoto mwingine anayemfahamu babake.
Kuhusu mume wako, kumbuka talaka haipeanwi kwa siku moja. Huenda ikachukua hata mwaka, sasa itakuwaje akijua una mimba? Moja kati ya mambo mawili yanaweza tokea: Huenda akajuwa ni ya ke, ambayo ni kweli, ama ni ya mtu mwingine, ambapo anaweza kukushtaki kwa uzinzi(infidelity).

LA KUFANYA
Bora uhame na mtoto wako ukaishi peke yako, halafu utafute talaka.
Halafu pia kutafuta 'abduction ya mtoto' ambapo utapewa ruhusa ya kuishi na mtoto wakati kesi ya talaka inaskilizwa na kuamuliwa.
Jambo muhimu ni ujiulize kama kweli unahitaji talaka. Kama utaweza kujikimu bila usaidizi wa mume wako. Lakini kama utakubaliwa talaka, huenda mkangawana majukumu ya kulea watoto, na pia mkagawana mali.
NAPINGA TALAKA LAKINI NAPINGA ZAIDI KUMPIGA MWANAMKE!
 
Dada tusidanganye. Mtu hawezi kutoka kazi halafu aanze kukupiga bila sababu, kuna kitu umemfanyia na hiyo ni kikubwa san. Wewe amua unsomba ushauri wa nini wakti mlipendana wenyewe?
 
Kuliko utoe mimba bora uitunze miezi tisa siyo mbali huyo mtoto uniletee nimtunze!
 
unakazi ? i mean unachanzo chochote cha mapato? kama hapana anza kujiongeza kama ndio endelea na maisha yako
 
Kuliko utoe mimba bora uitunze miezi tisa siyo mbali huyo mtoto uniletee nimtunze!

Jambazi muda wa kulea unao alafu mwenyewe muda wa uraiyani hunaa na polisi wanakusakaa wajaribishe risasi zao sasa wee huyo mtoto itakuwaje kama si kumwaribu kisaikolojia?
 

Cjuuuiii ila sielewii mtu kuja na kukuvamia kukupga kuutwa bila sababu inaanzaaaje!

CHA MSING NI: Je unafkiri mume atakubali hiyo mimba na kuwalea vyema?
Mtoto uliyenaye na hiyo mimba ni ya mumeo?
kauli zako kwa mume zikoje?
matumizi yako ktk pesa nk za mume ukoje?
unadhani wataka mtoto mwingine leo au baadae?
kama utaongezaga mtoto ni bora uzae ukatulia kulea wanao na si kuja kuzaa tena kwngne ujitengenezee taifa la Israel&Palestina!
Mimba zinatolewa vzr tu mwendo wa dk 10 kwisha ila ni kosa la jinai Tanzania.
Kuna vidonge vya 50,000 inameza inaporomoa na kwa bei hyo wanakupa na vya kumeza jusafsha.
 
Jambazi muda wa kulea unao alafu mwenyewe muda wa uraiyani hunaa na polisi wanakusakaa wajaribishe risasi zao sasa wee huyo mtoto itakuwaje kama si kumwaribu kisaikolojia?

hahahah ataenda naye kuibaaa!!!
 
Dah! ushaur wangu usitoe preg coz watoto wanatafutwa xana kumbuka.
wangap wanatafuta mimba na hawapat na ujiulize kwann ww unapata speedly?
mungu anamakusud yake dada angu!
mungu anakupima ww unamsimamo gan. komaa hilo n tatzo dgo xaa..na!
halpaswi hata kuumiza kchwa,
ushaur mwngne n kwamba usijipelekepeleke xana kwake,kaa kimya ya muda fulan then ujione unathaman gan kwake?
ukifanya hvo utawin mpaka hutojiamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…