Nilipenda xana nikupe ushaur ila kwa kaul yako ya askar magereza imenikera huwa hawamtesi mtu mpaka awe anamakosa na kafungwa
Pole dada hawa wanaume wanatupa wkt mgumu bure,km unakipato chako cha uhakika na unaona unaweza kuendesha maisha yk vzr basi zaa huyu mtoto umlee mwenyewe kumbuka atakuja kukusaidia ww mwenyewe hapo baadae,huyo shetani mpotezee,maisha gan ya kupigana bl sbb asije akakutia kilema cha maisha bure.
Ananipiga na mzigo anakula kama hivi sasa matokeo hayooo wakati tumeshatengana
asante kwa ushauri wAko.. maans hata huu pia ni ushauri japo umesema hautaki kitoa ushauriNilipenda xana nikupe ushaur ila kwa kaul yako ya askar magereza imenikera huwa hawamtesi mtu mpaka awe anamakosa na kafungwa
Kwani we mbona limekuchoma?Na ww askari magereza?
Kwani we mbona limekuchoma?Na ww askari magereza?