kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 119
- 226
Wakuu wana JF, hope mpo salama.
Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY courses.
Kwa wale ambao wametimiza ndoto zao kwa kutumia kozi zozote za Udemy, naomba aweze kutoa comment yoyote.
Je, hizo zina ubora gani kwa upande wa coding/programming hasa softeware development?
Na je, kuhusu cyber, kama kuna mtu amewahi kuzisoma hizo kozi, hao majamaa wanatoa real world practicals ambazo zinaweza kuniongezea kitu nikiweka na juhudi zangu?
Naombeni ushauri maana nimedhamiria sana kusoma udemy courses regrdless how costy they are.