Kai Proctor
Member
- Apr 14, 2016
- 40
- 38
Ukiwa boss, ni unakuwa na tabia fulani za umimi, na kutaka kila mtu afikirie kama wewe.. na unajawa na dharau... hiyo ipo..Mabosi limbukeni ndo wanatabia za kifoo kama hizo.
Ebu tumia ID ya zamani maana hii naona ni maalum kwa ajili ya huu uzi tu.Utapata ushauri mzuri sana. Huoni mzee tupatupa kapotea.Namaanisha baadhi ya ndugu zake nao waliwahi kuniuliza unaishije na boss wako, ndo ikapelekea kumjua kiundani
Hajasema kama akimtoa out wanakunywa pombe mkuu. Muulize huko out huwa anamfanya nini hadi akubali kwenda hata kama anatukanwa.Siku nyingine akikutoa out then akaanzisha mboyoyo mboyoyo za ofisini unamtia vitasa vya maana then kesho yake unamuomba msamaha na kumwambia ni pombe
atajiaili siku akitumbuliwa, niliwahi kuacha kazi mahali sababu ya bosi mjinga mjinga sikutaka kudhalilisha professional yangu, cha msingi ni kuweka misingi ya kujiajili wakati upo kibaruaniHivi huyo DC amejiajiri?
Fanya kazi kwa bidii bila kuongea nae ovyo.Mimi ni mwajiriwa wa taasisi fulani inayohusika na maswala ya ununuzi, nimeajiriwa tangu mwaka juzi.
Tatizo nililonalo ni huyu boss wangu amekuwa ni mtu wa hasira sana ukikosea kidogo tu lazima achukue siku nzima kukusema na yupo radhi hata weekend akupgie simu mtoke wote ila mkifika kwanye huo mtoko lazima akuanzishie mambo ya ofisini na kukusema tena kibaya zaidi ukimjibu ndo anazidisha mara ooh mpumbavu we hutumii akili yani inshort napata wakati mgumu natamani kuacha kazi ila nashindwa kwan familia inantegemea.
Nimejiuliza kwa watu wake wakaribu wanadai sio wewe tu ndivyo alivyo kwani ni mtu anayeamini yuko sahihi kwa kila kitu na pia jeuri ya fedha inampa kiburi
Tafadhali naomba ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuendana na huyu boss wangu.
Wanaume wa dar bwana shida kwel.Mimi ni mwajiriwa wa taasisi fulani inayohusika na maswala ya ununuzi, nimeajiriwa tangu mwaka juzi.