Baba Richard
Member
- Apr 6, 2014
- 24
- 57
Nimewahi kwenda ofisini kwao na ninajua vigezo vyao, what I wanted to know, sijui kama umeisoma hiyo thread na kuielewa vizuri ni kutaka kufahamu experience ya biashara yenyewe, hiki ni kitu ambacho hawatoweza kukushauri unbiased kwasababu wao wapo behind the desk kumonitor mambo ya IT na Management kwenye kampuni yao.Masengenyo ya Shemeji yamekuchosha eeh. Ningekua wewe Ni mm ningeenda physically ofisini kwao. Badala ya kuuliza mitandaoni
Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa ShemNimewahi kwenda ofisini kwao na ninajua vigezo vyao, what I wanted to know sijui kama umeisoma hiyo thread na kuielewa vizuri ni kutaka kufahamu experience ya biashara yenyewe, hiki ni kitu ambacho hawatoweza kukushauri unbiased kwasababu wao wapo behind the desk kumonitor mambo ya IT na Management kwenye kampuni yao. Ninachotaka kujua hapa ni kwa mtu au watu ambao wameifanya hii biashara wakaona in and out ya biashara yenyewe.
Sawa bro. Nashukuru [emoji120]Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Huyu jamaa kwani umemkosea nini mkuuSawa bro. Nashukuru [emoji120]
We jamaa inaonekana una tatizo wahi hosptali.Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Aki stress mbaya jamaan😀😀😀we jamaa inaonekana una tatzo wahi hosptal
Sasa hili linahusikaje na mada ya mkuu hapo juu si bure utakua na stress weweUtakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Kuwa Graduate haimaanishi umegraduate katika maisha.Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Jamaa atakuwa bado yupo kwenye maombolezo.aki stress mbaya jamaan😀😀😀
Maombolezo afu kachanganyikiwa sasa haelewi yaani haelewiJamaa atakuwa bado yupo kwenye maombolezo.
kKani kakosea wapi hadi umjibu namna hiii? Unahisi upo sawa na hili jibu?Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Mwamba anastress aki nakuambia nmeona hilo jibu nkacheka.kwani kakosea wapi hadi umjibu namna hiii? unahisi upo sawa na hili jibu?
Bado haamini kama kaondoka[emoji23][emoji23][emoji23]maombolezo afu kachanganyikiwa sasa haelewi yaani haelewi
Stori za vijiweni hizo. Uber ndo mpango mzima ila maumivu Yake utayapata siku ya kufanya service kubwa. Pia abiria wake kichomi SanaBolt ndio iko cheap zaidi na ina ofa sana kwa wateja na wengi wanatumia hiyo kuliko Uber, madereva wanazo hizi apps zote. Madereva wa Bolt wanaingiza hela nyingi kuliko wale wa vijiweni. Yani hujutii kuilipia, uzuri wake kuna siku unapiga kazi mpaka unaamua kupumzika.
Wapo watu anafanya kazi mchana, jioni anapiga Bolt mpaka saa tano usiku anarudisha kagari kake kazuri nyumbani anapumzika. Mmoja alinambia hela ya kula na bills zote nyumbani anaipata kwenye Bolt, mshahara wake haulishi familia hata siku moja.