Naomba ushauri jinsi ya kupata PhD sponsorship

Septemba11

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
620
527
Poleni na majukumu ya kila siku waungwana!
Waungwana mimi ni kijana wa kitanzania, umri ni late 20 kwa hivi sasa, kielimu nina shahada ya uzamili, ninapenda na ninaplan ya kufanya shahada ya uzamivu kwa mwaka wa masomo 2018 nje ya nchi.

Dhumuni la andiko hili kwenu ndugu zangu ni kuwaomba msaada wa mawazo, experience, connection hata kushikwa mkono ili niweze kupata pdh sponsorship nami niweze kutimiza malengo yangu na niweze kuziishi ndoto zangu.

Kwa mawasiliano zaidi, karibuni pm.

In the name of God, I believe!!!
Ahsanteni sana!!!
 
Back
Top Bottom