Naomba ushauri jinsi ya kumuacha huyu Mwanamke mwenye upendo wa dhati

Najaribu kufeel jinsi huyo dada alivokuwa anajiskia aloo usiombe ile hali ikukute ..kuachwa na mtu ambae bado unampenda tena bila sababu ya msingi ..nafsi na hali halisi zinapingana unaumia bilakupigwa.maumivu yake hayaelezeki kimaandishi wala kimaneno ..Mungu huwa anajibu kwa wakati hasa kwa chozi lisilo na hatia namshukuru nilipo ni mahali bora na sahihi muda wake wa kuhaha kaoa na kuacha ndani ya miaka 2.Thats KARMA
 
Ni utoto unakusumbua
Yeah possibly umri kwa mwanaume 25 bado sana aisee tena hapo anajiona yuko marketable balaa ..huwa kuna ka memories mwanaume hazeeki but believe me when it's comes ktk suala la mke wa ndoa wa kuishi nae mama wa watoto wako utagundua kuwa wanawake ni wachache mno wanaofit ktk hiyo nafasi tena smtmz hata usimuone anaefit mda huo unagonga 33 35 hivi....hapo ndo ushapigiwa kelele kutoka pande zote uoe na humuoni anaefit ktk nafasi hiyo..hiyo ipo.ilinitokea kukataliwa kwa kigezo cha umri alinizidi mwaka mmoja tu..madai yake ataoa akifia 30z ajabu alifika 33 hajaoa kaoa kwa haraka within 2yrs ndoa chali
 
Najaribu kufeel jinsi huyo dada alivokuwa anajiskia aloo usiombe ile hali ikukute ..kuachwa na mtu ambae bado unampenda tena bila sababu ya msingi ..nafsi na hali halisi zinapingana unaumia bilakupigwa.maumivu yake hayaelezeki kimaandishi wala kimaneno ..Mungu huwa anajibu kwa wakati hasa kwa chozi lisilo na hatia namshukuru nilipo ni mahali bora na sahihi muda wake wa kuhaha kaoa na kuacha ndani ya miaka 2.Thats KARMA

Nitaleta marejesho after 2 years
 
I hope hamjambo ndugu zangu wote wana JF.

Naomba kutanguliza samahani kwa yoyote nitakae mkwanza juu ya hili naomba ushauri wenu nifanye nn? Mnivumilie sio mwandishi mzuri sana. Katika mishe zangu za kila siku nilitokea kuonana na mdada fulani kiukweli mzuri wa kila kitu na mwenye kazi yake na sehemu yake ya kuishi na mwenye dini haswa na mwenye kujistiri.

Kikweli baada ya kumuona nilitokea kuvutiwa naye na kuongea naye na kuchukua number yake na alivutiwa na mimi tangu siku ya kwanza tu kuongea naye she’s was so happy kuongea na mimi.

Tuliendelea kuongea kawaida as friends after 3 weeks nijaribu kufikisha hisia zangu juu yake nieleze kiasi gani nimevutiwa nae na kutokea kumpemda toka the first day kuonana nae.

Tuliingia kwenye mahusiano rasmi ya kimapenzi. Kiukweli sikuwa nimempenda zaidi ya kumtamani mwili wake. Kadri siku zinavyozidi kwenda nikiona anazidi kunionesha kunipenda na kujail zaidi kuhusu mimi kuletewa zawadi kama t-shirt, saa na viatu nikiwa sijawahi kumpa chochote na zaidi hali yangu ya kiuchumi nimemzidi kwa kila kitu

After many days tulikutana kimwili zaidi ya mara tatu after that nilianza kuwa busy hata nikiona simu yake nahisi kama ananisumbua hata kujibu text nashindwa na hachoki kutuma texts wala kupiga anaishia kulia kila siku. Sometimes naumia kumuona hivyo ila i want her to move on na maisha yake kizazaa kilianza hapa.

Kwa yote niliyofanyia hakuweza kuniacha wala kuniambia sikutaki aliendelea kunivumilia mengi niliyofanya sidhani kama kuna mwanamke anaweza kuvumilia na kuendelea kuwa na mwanaume huyo. Niumia zaidi kumuona akiteseka niliamua kumwambia tuachane hataki kusikia hilo wala kuelewa alisema siwezi kuachana na wewe na weka akilini mwako. Niliamua kumblock number zake maybe angekuweza ku-move on ila hali kutokea hilo alianza kunitafuta na kila number anaweza hata akaomba hata number ya mpita njia anipigie mimi na kuanza kulia hata mbele za watu kwanini nimemblock.

Kila siku anasema mimi siwezi kukuacha kamwe na nipo tayari kwa kila kitu hata ukioa mwanamke mwingine zaid yangu nipo tayari kukuzalia ila kuwa na mwanaume mwengine siwez btw nimeshindwa kumuacha wala kuniacha na hakuwahi kula hela yangu hata siku moja zaid ya kulipia hotel tulale. Naomba radhi juu ya hili ni hisia tu.

NAOMBA USHAURI NIFANYE NINI NA SIPO TAYARI KUWA MUME WAKE NA ANAJUA HILO
malipo ni hapahapa
 
Kwa busara Nipe Namba zake. Kaz itaishia hapo hata kusumbua kwamwe.
 
Kuna viumbe vingine huku duniani sio binadamu ila vimevaa mwili wa binadamu na kufanya mambo yote kama binadamu. Hapa nilipo ni saa 6:25 za usiku na nasikiliza wimbo unaosema Wewe ni Mungu Alfa na Omega haubadiliki kamwe. Kwa hayo maelezo yako kwa mtu ambaye hamjawa kwenye uhusiano kwa miaka kadhaa akung'ang'anie kama anavyofanya huyo dada ni jambo la hatari sana upo karibu kuiuza roho (soul).......Ningekuwepo Tanzania ningekutafuta kwa ushauri zaidi
Mkuu umenitisha, coz napitia situation kama ya mleta mada.
 
Duh ! Nakuelewa sana jamaa yangu, mimi nakushauri kama kakayako nna uhakika nakuzidi umri, nisikilize!
:
:
Love vs wisdom don't share the same memory address
:
:
I mean, hisia (love feelings) ya binadam yeyote vs hekima/busara yake katika kufanya maamuzi havina uhusiano sana, na hii ndio chanzo cha watu wengi kufanya wrong choice when they both decide to live the marriage life: Psychologically
. women prefer feelings over wisdom while men prefers wisdom (Intelligence) over feeling
:
:
Now because you are a man , choose wisdom over feeling !! Nadhan kwa kifupi sana umenielewa

NOTE: feelings is temporary as it wears with time but wisdom is permanent, any decision you make in your life yesterday, and today is the subject of your better or worse in your future
 
I hope hamjambo ndugu zangu wote wana JF.

Naomba kutanguliza samahani kwa yoyote nitakae mkwanza juu ya hili naomba ushauri wenu nifanye nn? Mnivumilie sio mwandishi mzuri sana. Katika mishe zangu za kila siku nilitokea kuonana na mdada fulani kiukweli mzuri wa kila kitu na mwenye kazi yake na sehemu yake ya kuishi na mwenye dini haswa na mwenye kujistiri.

Kikweli baada ya kumuona nilitokea kuvutiwa naye na kuongea naye na kuchukua number yake na alivutiwa na mimi tangu siku ya kwanza tu kuongea naye she’s was so happy kuongea na mimi.

Tuliendelea kuongea kawaida as friends after 3 weeks nijaribu kufikisha hisia zangu juu yake nieleze kiasi gani nimevutiwa nae na kutokea kumpemda toka the first day kuonana nae.

Tuliingia kwenye mahusiano rasmi ya kimapenzi. Kiukweli sikuwa nimempenda zaidi ya kumtamani mwili wake. Kadri siku zinavyozidi kwenda nikiona anazidi kunionesha kunipenda na kujail zaidi kuhusu mimi kuletewa zawadi kama t-shirt, saa na viatu nikiwa sijawahi kumpa chochote na zaidi hali yangu ya kiuchumi nimemzidi kwa kila kitu

After many days tulikutana kimwili zaidi ya mara tatu after that nilianza kuwa busy hata nikiona simu yake nahisi kama ananisumbua hata kujibu text nashindwa na hachoki kutuma texts wala kupiga anaishia kulia kila siku. Sometimes naumia kumuona hivyo ila i want her to move on na maisha yake kizazaa kilianza hapa.

Kwa yote niliyofanyia hakuweza kuniacha wala kuniambia sikutaki aliendelea kunivumilia mengi niliyofanya sidhani kama kuna mwanamke anaweza kuvumilia na kuendelea kuwa na mwanaume huyo. Niumia zaidi kumuona akiteseka niliamua kumwambia tuachane hataki kusikia hilo wala kuelewa alisema siwezi kuachana na wewe na weka akilini mwako. Niliamua kumblock number zake maybe angekuweza ku-move on ila hali kutokea hilo alianza kunitafuta na kila number anaweza hata akaomba hata number ya mpita njia anipigie mimi na kuanza kulia hata mbele za watu kwanini nimemblock.

Kila siku anasema mimi siwezi kukuacha kamwe na nipo tayari kwa kila kitu hata ukioa mwanamke mwingine zaid yangu nipo tayari kukuzalia ila kuwa na mwanaume mwengine siwez btw nimeshindwa kumuacha wala kuniacha na hakuwahi kula hela yangu hata siku moja zaid ya kulipia hotel tulale. Naomba radhi juu ya hili ni hisia tu.

NAOMBA USHAURI NIFANYE NINI NA SIPO TAYARI KUWA MUME WAKE NA ANAJUA HILO
I wish ningependwa de way she loves you. 😪
 
Back
Top Bottom