Naomba ushauri jinsi ya kumuacha huyu Mwanamke mwenye upendo wa dhati

Shukran sna kwa ushaur wako ukiwa kam mzazi wang sidhan kam mzee wng umri huo amefika.

Mwnamke hana tatz lolote n she’s good for everything. Na pia dini sawa muslim wote. Ila kikubwa kutaka kuachana sikuwh kumpend zaid ya kumtamn kila ninaemuosha mtu anasem nimuoe she’s so cute.

Nilikutana nae nikiwa na mataminio ya kimwili tu n nikiwa n mwanamk mwengn nahitaji kumuoa coz ndo ninaempnd na kuw na malengo nae but hanipend kama anavyonipnd huyo girl.
Yaaani wewe jinga kabisa , unaempenda hakupendi na usiyempe nda anakupenda na Bado humtaki anaekupenda kwa dhat! Nakuhakikishia utakuja juta mara mia mpaka ujinga ukutoke.
 
Yaaani wewe jinga kabisa , unaempenda hakupendi na usiyempe nda anakupenda na Bado humtaki anaekupenda kwa dhat! Nakuhakikishia utakuja juta mara mia mpaka ujinga ukutoke.

Sawa nasubr karma
 
Haudeserve vitu vizr, we endelea kutokupokea simu na ukijua ji yeye kata simu
Inamuumiza sawa lkn mwisho wa siku atampata mtu sahihi
Hongera sana kwa kumuumiza, but you will pay
 
Haudeserve vitu vizr, we endelea kutokupokea simu na ukijua ji yeye kata simu
Inamuumiza sawa lkn mwisho wa siku atampata mtu sahihi
Hongera sana kwa kumuumiza, but you will pay

Thanks for ur advice
 
nakumbk aliniambia ukiatak kunicha nitafutie mtu kam ww.
Duh mkuu inaonekana mlipokutana kimwili ulimpa shughuli ya uhakika sasa kila akikumbukia na aliokwisha kutana nao anaona hawafai ni wewe tu.Kama ana tabia njema beba tu mkuu ingawa haujatwambia ana kasoro gani cha kufanya u block.
 
Kuna viumbe vingine huku duniani sio binadamu ila vimevaa mwili wa binadamu na kufanya mambo yote kama binadamu. Hapa nilipo ni saa 6:25 za usiku na nasikiliza wimbo unaosema Wewe ni Mungu Alfa na Omega haubadiliki kamwe. Kwa hayo maelezo yako kwa mtu ambaye hamjawa kwenye uhusiano kwa miaka kadhaa akung'ang'anie kama anavyofanya huyo dada ni jambo la hatari sana upo karibu kuiuza roho (soul).......Ningekuwepo Tanzania ningekutafuta kwa ushauri zaidi
Walokole bana dah!
 
Nyie vijana wa sikuhiz ni wa hovyo sana ndio maana mnalogwa mnakufa mapema nyoko nyie. Sio kila mwanamke ni wakumvua chupi na kupita kushoto. Kabla hujaamua kufanya Hit and Run make sure umemuandaa kisaikolojia au umemjua akili yake na hisia zake zikoje.
Huyo mwanamke anaweza kukuroga au kukuua au kujiua yeye... Ukipona next time usirudie huo upuuzi
 
Duh mkuu inaonekana mlipokutana kimwili ulimpa shughuli ya uhakika sasa kila akikumbukia na aliokwisha kutana nao anaona hawafai ni wewe tu.Kama ana tabia njema beba tu mkuu ingawa haujatwambia ana kasoro gani cha kufanya u block.

Kasoro anapenda kupitiliza sitak anipende hivyo najua kuw siwez kumpnd kama anavyonipnd.
 
Duh mkuu inaonekana mlipokutana kimwili ulimpa shughuli ya uhakika sasa kila akikumbukia na aliokwisha kutana nao anaona hawafai ni wewe tu.Kama ana tabia njema beba tu mkuu ingawa haujatwambia ana kasoro gani cha kufanya u block.

Kakutana n shughuli ya kipemba
 
I hope hamjambo ndugu zangu wote wana JF.

Naomba kutanguliza samahani kwa yoyote nitakae mkwanza juu ya hili naomba ushauri wenu nifanye nn? Mnivumilie sio mwandishi mzuri sana. Katika mishe zangu za kila siku nilitokea kuonana na mdada fulani kiukweli mzuri wa kila kitu na mwenye kazi yake na sehemu yake ya kuishi na mwenye dini haswa na mwenye kujistiri.

Kikweli baada ya kumuona nilitokea kuvutiwa naye na kuongea naye na kuchukua number yake na alivutiwa na mimi tangu siku ya kwanza tu kuongea naye she’s was so happy kuongea na mimi.

Tuliendelea kuongea kawaida as friends after 3 weeks nijaribu kufikisha hisia zangu juu yake nieleze kiasi gani nimevutiwa nae na kutokea kumpemda toka the first day kuonana nae.

Tuliingia kwenye mahusiano rasmi ya kimapenzi. Kiukweli sikuwa nimempenda zaidi ya kumtamani mwili wake. Kadri siku zinavyozidi kwenda nikiona anazidi kunionesha kunipenda na kujail zaidi kuhusu mimi kuletewa zawadi kama t-shirt, saa na viatu nikiwa sijawahi kumpa chochote na zaidi hali yangu ya kiuchumi nimemzidi kwa kila kitu

After many days tulikutana kimwili zaidi ya mara tatu after that nilianza kuwa busy hata nikiona simu yake nahisi kama ananisumbua hata kujibu text nashindwa na hachoki kutuma texts wala kupiga anaishia kulia kila siku. Sometimes naumia kumuona hivyo ila i want her to move on na maisha yake kizazaa kilianza hapa.

Kwa yote niliyofanyia hakuweza kuniacha wala kuniambia sikutaki aliendelea kunivumilia mengi niliyofanya sidhani kama kuna mwanamke anaweza kuvumilia na kuendelea kuwa na mwanaume huyo. Niumia zaidi kumuona akiteseka niliamua kumwambia tuachane hataki kusikia hilo wala kuelewa alisema siwezi kuachana na wewe na weka akilini mwako. Niliamua kumblock number zake maybe angekuweza ku-move on ila hali kutokea hilo alianza kunitafuta na kila number anaweza hata akaomba hata number ya mpita njia anipigie mimi na kuanza kulia hata mbele za watu kwanini nimemblock.

Kila siku anasema mimi siwezi kukuacha kamwe na nipo tayari kwa kila kitu hata ukioa mwanamke mwingine zaid yangu nipo tayari kukuzalia ila kuwa na mwanaume mwengine siwez btw nimeshindwa kumuacha wala kuniacha na hakuwahi kula hela yangu hata siku moja zaid ya kulipia hotel tulale. Naomba radhi juu ya hili ni hisia tu.

NAOMBA USHAURI NIFANYE NINI NA SIPO TAYARI KUWA MUME WAKE NA ANAJUA HILO
Sijui ni kwa Nini wanaume mnapenda kucheza na vichwa vya watu.....mtu umemlala umechakaza mbususu yake alafu unasema umpendi......sasa kama umpendi siungekataa pia kulala nae...... Kusema kweli ningekua mim ungejuta milele daima





Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Siku zote hit and run huwa haiwi ivyo na wewe uliingia kwa lengo hilo. Kosa ulilofanya ulijenga kibanda halafu unashtuka ushamaliza kujenga na mwenzako keshahamia na ndio maana hata wewe unashindwa kutoka kwa sababu mmeshakua na sababu za kuwa pamoja na sio breakup kwa sasa.

Muhimu la kukushauri kaeni chini umueleze kila kitu ikiwezekana hata sababu za uongo zitakazomfanya akae mbali na wewe ikifanikiwa hiyo hakikisha unakaa mbali na usipate hata nafasi ya kukaa mbele ya upeo wa macho yake itamsaidia kukusahau haraka.

Lakini najiuliza swali, kwanini unamkataa mwanamke anakulilia kabisa? Au ni single maza unajaribu kukwepa majukumu

Ila hakikisha humfanyii hivi mwanamke mwingine hawa viumbe wakipenda wanaweza hata kuua.
Labda amwambie amepata UKIMWI

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom