Naomba ushauri jamani

Naomba ushauri jamani

JACKBIZZO

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
83
Reaction score
12
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.
 
Hili jukwaa la biashara na uchumi kwa hiyo unataka tujadili kuhusu huyo demu au ufugaji? Tuambie ili tujue kwa kuanzia kukushauri
 
Akiweza kukulazimisha na ukakubali... Yeye ndio MWANAUME.
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.
 
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.

Kwanini mnakuwa mnarukia mambo msokuwa na uwezo nayo sasa...
pole
 
Sawa unampenda ila kama huna kazi mtakula nini? Mtu anaeitwa MWANAMKE anamahitaji mengi sana kwa maisha haya mzee kujipanga kiuchumi ni bora kwako, mapenzi hayachagui ila mapenzi + kipato ndio yanakua safi...anza ufugaji, na kama ni wa kuku nitakua mteja wako wa mayai..
 
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.

Wewe ulitongoza au ulitongozwa ?kama ulitongoza umesahau kumtongoza tena mpaka akubali
Kama ulitongozwa mziki wake mtamu .
Ila ujue me hafundishwi kutongoza na me khalisia ni yule mtongozaji mpaka saa ya mwisho.
 
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.

kijana tulia piga kazi asikupelekeshe huyo......... Tafuta kwanza hela mke utampata tu lakin usilogwe kutafuta mke kabla ya hela utakuja kufa kabla ya siku zako kwa stress
 
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.

Washenzi sana hao watoto wa kike wakishaingia kwenye ndoa ndio mziki wake utauona, hata ukiwa na kazi still huwa wanachange kinoma sasa kama hauna ndio utakufa kabla ya muda wako ------- watakavyokua wanapiga na ww unaona, hata usimsikilize weka mambo yako sawa ukiwa tayari ndio vuta hataki mwache asepe
 
Mimi mwanamme asieweza kusimama with authority and say NO to me simtaki.
 
Back
Top Bottom