Naomba ushauri jamani

paul miteda

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
131
Reaction score
592
Eti mwanamke anakunyima unyumba anakutukuna imefika wakati wa kulipa kodi bado ananiletea mdomo ninachokitaka hii kodi bora nikalipie sehemu nyingine nipukapumnzishe ubongo.Naomba mnishauri nifanyeje??
 
Una nyege. Upo mkoa Gani tukupe konekshen ya Mahali pa kupunguza?

Baada ya hapo lala, tafakari juu ya hatma ya ndoa yenu Kisha Rudi ukalipe Kodi uishi na familia yako.
Ujue unyumba wa ndani ni ndani tu siyo kwamba mtu anashindwa kutoka au kufanya huko nje
 
Kama vijana tuao wategemea ndio hawa... tusahau hata kama hiyo katiba mpya kupatikana
 
Dogo huna miaka mingi , utakufa uwaachie masela huyo mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…