kula maisha ww...tafta mwanamke aliyenona hapoo uish nae vizurNimepata field manispaa ya ilala lakini tangu nimefika hamna kazi yoyote tunayopewa zaidi ya kukaa tu na kama itapewa kazi basi zile ndogo sana kama vile kutafuta faili moja labda afu basi na inapata week ya tatu hii
Inaeleweka kwamba hatulipwi na chakula inajilipia mwenyew lakni ofisini hawajali watu wa field yan hawakuulizi wanakuangalia tu
Sasa nimeona kwa sababu supervisor bado hajapita kukagua basi jitafute sehem nyingine maana watu wengi wana maliza field mwezi wa kumi na moja mimi naanza mwezi wa kumi au hata wa kumi na moja ukitaka maana barua za field zipo mbili kwa sababu ya uchaguzi
Mimi nafanya field semister nzima miezi minne yani (mzumbe morogoro) system yao ndo ilivo.
Kwahiyo nilikua naomba mnishauri nikaombe kwingine wapi ambapo kutakua na afadhari kwamba utajifunza sio kukaa tu
Polee Sana mkuu....
Chief Unapaswa kujua Umekosea kwanza.Nimepata field manispaa ya ilala lakini tangu nimefika hamna kazi yoyote tunayopewa zaidi ya kukaa tu na kama itapewa kazi basi zile ndogo sana kama vile kutafuta faili moja labda afu basi na inapata week ya tatu hii
Inaeleweka kwamba hatulipwi na chakula inajilipia mwenyew lakni ofisini hawajali watu wa field yan hawakuulizi wanakuangalia tu
Sasa nimeona kwa sababu supervisor bado hajapita kukagua basi jitafute sehem nyingine maana watu wengi wana maliza field mwezi wa kumi na moja mimi naanza mwezi wa kumi au hata wa kumi na moja ukitaka maana barua za field zipo mbili kwa sababu ya uchaguzi
Mimi nafanya field semister nzima miezi minne yani (mzumbe morogoro) system yao ndo ilivo.
Kwahiyo nilikua naomba mnishauri nikaombe kwingine wapi ambapo kutakua na afadhari kwamba utajifunza sio kukaa tu
Ebana hii issue ni tatizo sana kwa wabongoWakufundishe ili uchukue nafasi zao ndio maana wanakucheck tu hapo
Hukupaswa hata kupost. Hayo ndio mafunzo na kazi ziko hivyo hivyo.. siomiila sehemu utapendwa na sio kila sehemu utakuwa included ..ndio kaziKwahiyo nisiame?