Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

Acha hizo usizuge watu, ila unataka kutuambia kwamba hayo mambo unayafanya. Maana wototo wa huko hawana noma
 
Kama unakerwa na makelele ya huyo mwanamke muabudu ngono, peleka malalamiko yako kwenye mamlaka husika kwa maana anayehusika na hayo makazi.

Kama tatizo ni wewe kutamanishwa na huyo mdada hilo ni tatizo la kujiendekeza mwenyewe na uamuvi ni wako, kucheza na nyani na kuvuna ubua au kufanya vinginevyo. Kumbuka kuna herpes na HIV na pia matarajio yako ya uliyoyajenga kwa miongo kadhaa yanaweza kutoweshwa in amtter of seconds kwa starehe ya sekunde zisizozidi 20(nadhani wewe ni mtu mzima sasa umenielewa, eeh?)

Haya kila la kheri

Ulaya hamna ngoma..we minya kibada hicho
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom