YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Baba tucson ml 16? Una utani weweNaungana na hoja nami naomba nisaidiwe pia , Nina bajet ya m 16 nimevutiwa na Hyundai hii naomba ushauri tafadhari
TucsonView attachment 1359898
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Udochi? Umekuja na ID nyingine? , Anyways kwa budget yako mimi naomba niungane na wataalamu wengi wa humu kwa budget hiyo unaweza kupata IST Toyota. Kutoka japan kupitia jamaa kama sbt, autorec, au befoward. Ila unabidi uwe na ziada kidogo ya kama 1M. Kama unavyojua mambo ya gari kuna mdau mmoja humu nimemsahau alitumia kuliita gari kama liability na sio asset (kwa mtazamo wa general zaidi) hivyo vichenchi chenchi kama vile working capital lazima iwe available kuna cost zina vary anytime . ila IST ni gari poa haitakuumiza kichwa, unless otherwise uwe sensitive sana na gari za muundo ule. Ila iko perfect ktk specifics zote, fuel consumption️, reliability , availability of spare parts, To make the long story short IST inajiweza.
Mtoa mada Kwa gari ya milion 10 alafu yenye km 50000 itabidi ucheki IST,RAUM hasa Kwenye mtandao wa be forward unaweza kupata pia kama vipi ongeza milion 2 Kwenye hiyo budget yako uvute chombo cha maana
Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO12 Milioni Alafu Gari Ipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO
Naungana na hoja nami naomba nisaidiwe pia , Nina bajet ya m 16 nimevutiwa na Hyundai hii naomba ushauri tafadhari
TucsonView attachment 1359898
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaa mkuu nilikua nacheck spacio kuanzia mwaka 2009 hamnaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata akiongeza 4mln kwa mwaka anaotaka na km hawez pataMara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO
Hata akiongeza 4mln kwa mwaka anaotaka na km hawez pata