• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Naomba Ushauri Gari Ipi Niagize

YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
578
Points
500
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
578 500
Habari Wakuu,

Nina Budget Ya Tsh Milioni 10, Je Naweza Kuagiza Gari Ipi Nzurii.

Sifa Iwe Imetembea Si Zaidi ya Kama 50,000, Mwaka Kuanzia 2009 Kupanda Juu, Ikiwa Ndogo Yeyote Sawa Ilimradi Ndio Naanza Maisha Nataka Na Mimi Nionje Utamu Wa Kujifungia Ndani Ya Gari Nakula Kiyoyozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
AgentX

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Messages
1,469
Points
2,000
AgentX

AgentX

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2015
1,469 2,000
Kwa budget yako mimi naomba niungane na wataalamu wengi wa humu kwa budget hiyo unaweza kupata IST Toyota.

Kutoka japan kupitia jamaa kama sbt, autorec, au befoward. Ila unabidi uwe na ziada kidogo ya kama 1M.

Kama unavyojua mambo ya gari kuna mdau mmoja humu nimemsahau alitumia kuliita gari kama liability na sio asset (kwa mtazamo wa general zaidi) hivyo vichenchi chenchi kama vile working capital lazima iwe available kuna cost zina vary anytime

Ila IST ni gari poa haitakuumiza kichwa, unless otherwise uwe sensitive sana na gari za muundo ule. Ila iko perfect ktk specifics zote, fuel consumption ️, reliability , availability of spare parts, To make the long story short IST inajiweza.
 
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
276
Points
250
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
276 250
Naungana na hoja nami naomba nisaidiwe pia , Nina bajet ya m 16 nimevutiwa na Hyundai hii naomba ushauri tafadhari
Tucson
2309257_BG827890_c27fef.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
3,515
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
3,515 2,000
Mtoa mada Kwa gari ya milion 10 alafu yenye km 50000 itabidi ucheki IST,RAUM hasa Kwenye mtandao wa be forward unaweza kupata pia kama vipi ongeza milion 2 Kwenye hiyo budget yako uvute chombo cha maana
 
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
578
Points
500
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
578 500
Mimi Sio Udochi...Ila Nakushukuru Sanaa Mkuu, Vipi Pia Vitz Haifananii Hapa?

Wewe ni Udochi? Umekuja na ID nyingine? , Anyways kwa budget yako mimi naomba niungane na wataalamu wengi wa humu kwa budget hiyo unaweza kupata IST Toyota. Kutoka japan kupitia jamaa kama sbt, autorec, au befoward. Ila unabidi uwe na ziada kidogo ya kama 1M. Kama unavyojua mambo ya gari kuna mdau mmoja humu nimemsahau alitumia kuliita gari kama liability na sio asset (kwa mtazamo wa general zaidi) hivyo vichenchi chenchi kama vile working capital lazima iwe available kuna cost zina vary anytime . ila IST ni gari poa haitakuumiza kichwa, unless otherwise uwe sensitive sana na gari za muundo ule. Ila iko perfect ktk specifics zote, fuel consumption ️, reliability , availability of spare parts, To make the long story short IST inajiweza.Sent from my iPhone using JamiiForums
 
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
578
Points
500
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
578 500
Mtoa mada Kwa gari ya milion 10 alafu yenye km 50000 itabidi ucheki IST,RAUM hasa Kwenye mtandao wa be forward unaweza kupata pia kama vipi ongeza milion 2 Kwenye hiyo budget yako uvute chombo cha maana
12 Milioni Alafu Gari Ipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
3,515
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
3,515 2,000
12 Milioni Alafu Gari Ipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO
 
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
578
Points
500
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
578 500
Sawaa mkuu nilikua nacheck spacio kuanzia mwaka 2009 hamnaa

Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIOSent from my iPhone using JamiiForums
 
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
578
Points
500
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
578 500
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
3,299
Points
2,000
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
3,299 2,000
Sawaa mkuu nilikua nacheck spacio kuanzia mwaka 2009 hamnaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na 2009 ndio ilikua mwaka wa mwisho wa Spacio kutengenezwa kabla hawajahamia kwny toyota verso so kwa hela hio huwezi kupata.
 
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
2,627
Points
2,000
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
2,627 2,000
Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO
Hata akiongeza 4mln kwa mwaka anaotaka na km hawez pata
 

Forum statistics

Threads 1,406,595
Members 532,389
Posts 34,520,528
Top