Naomba Ushauri Gari Ipi Niagize

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
568
Habari Wakuu,

Nina Budget Ya Tsh Milioni 10, Je Naweza Kuagiza Gari Ipi Nzurii.

Sifa Iwe Imetembea Si Zaidi ya Kama 50,000, Mwaka Kuanzia 2009 Kupanda Juu, Ikiwa Ndogo Yeyote Sawa Ilimradi Ndio Naanza Maisha Nataka Na Mimi Nionje Utamu Wa Kujifungia Ndani Ya Gari Nakula Kiyoyozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa budget yako mimi naomba niungane na wataalamu wengi wa humu kwa budget hiyo unaweza kupata IST Toyota.

Kutoka japan kupitia jamaa kama sbt, autorec, au befoward. Ila unabidi uwe na ziada kidogo ya kama 1M.

Kama unavyojua mambo ya gari kuna mdau mmoja humu nimemsahau alitumia kuliita gari kama liability na sio asset (kwa mtazamo wa general zaidi) hivyo vichenchi chenchi kama vile working capital lazima iwe available kuna cost zina vary anytime

Ila IST ni gari poa haitakuumiza kichwa, unless otherwise uwe sensitive sana na gari za muundo ule. Ila iko perfect ktk specifics zote, fuel consumption ️, reliability , availability of spare parts, To make the long story short IST inajiweza.
 
Naungana na hoja nami naomba nisaidiwe pia , Nina bajet ya m 16 nimevutiwa na Hyundai hii naomba ushauri tafadhari
Tucson
BG827890_c27fef.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada Kwa gari ya milion 10 alafu yenye km 50000 itabidi ucheki IST,RAUM hasa Kwenye mtandao wa be forward unaweza kupata pia kama vipi ongeza milion 2 Kwenye hiyo budget yako uvute chombo cha maana
 
Mimi Sio Udochi...Ila Nakushukuru Sanaa Mkuu, Vipi Pia Vitz Haifananii Hapa?

Wewe ni Udochi? Umekuja na ID nyingine? , Anyways kwa budget yako mimi naomba niungane na wataalamu wengi wa humu kwa budget hiyo unaweza kupata IST Toyota. Kutoka japan kupitia jamaa kama sbt, autorec, au befoward. Ila unabidi uwe na ziada kidogo ya kama 1M. Kama unavyojua mambo ya gari kuna mdau mmoja humu nimemsahau alitumia kuliita gari kama liability na sio asset (kwa mtazamo wa general zaidi) hivyo vichenchi chenchi kama vile working capital lazima iwe available kuna cost zina vary anytime . ila IST ni gari poa haitakuumiza kichwa, unless otherwise uwe sensitive sana na gari za muundo ule. Ila iko perfect ktk specifics zote, fuel consumption ️, reliability , availability of spare parts, To make the long story short IST inajiweza.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtoa mada Kwa gari ya milion 10 alafu yenye km 50000 itabidi ucheki IST,RAUM hasa Kwenye mtandao wa be forward unaweza kupata pia kama vipi ongeza milion 2 Kwenye hiyo budget yako uvute chombo cha maana

12 Milioni Alafu Gari Ipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawaa mkuu nilikua nacheck spacio kuanzia mwaka 2009 hamnaa

Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mara nying gari zenye km chache bei yake inakuwa kubwa kidogo...ndiyo maana ninekushauri uongezee milion 2 ili uchague Nagari zaidi kama RAUM,IST,ALLEX,PORTE, RACTIS NA SPACIO
Hata akiongeza 4mln kwa mwaka anaotaka na km hawez pata
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom