mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Kama n ngumu bas Kila mtu ashike lake
mfyuuuu utakaponiona na pete mkononi ndio utaniamni we endeleaHa ha ha ha kwahyo unataka nkuamin mama mkono mtupu haulambwi.... unaweza Kua sio cha kengele ila busara zako ni za msimu kama embe ng'ong'o
Ha ha ha Pete hata mganga anavaamfyuuuu utakaponiona na pete mkononi ndio utaniamni we endelea
apo ndio tunaposhindwana mm na ww hivi bonny kwa nn hauniamin? au unajua naishi na wazazi nasubilia chakula cha kengele![]()

jichekee tu uyu bonny ni chizinimeipenda
![]()
kwahyo bonny hauamin pia kama mm ni mrs wa mtuHa ha ha Pete hata mganga anavaa

Ha ha ha ha kwahyo unataka nkuamin kwenye Hilo?kwahyo bonny hauamin pia kama mm ni mrs wa mtu![]()
aisee kweli nimeamini hauniamini kwa chochote ngoja nikutumie pics za wedding nahisi utaaminiHa ha ha ha kwahyo unataka nkuamin kwenye Hilo?
ha ha ha hakuna shida ila ustume huku sawa enheeaisee kweli nimeamini hauniamini kwa chochote ngoja nikutumie pics za wedding nahisi utaamini
Haya maamuzi ndio baadae huwacost watoto.fanya juu chini umdunge mimba. ikishaingia mjali kupita maelezo kipindi choote cha ujauzito but usiruhusu kuzungumzia masuala ya dini. mtoto akishazaliwa wenye akili na upeo watakiwa.washajua nini kinafuata. hakuna stress hapo ww jamaaa
hivi bonny huniamini kweliha ha ha hakuna shida ila ustume huku sawa enhee
ndio maana nkauliza unataka nkuamin?hivi bonny huniamini kweli
Niamini ndiondio maana nkauliza unataka nkuamin?
ha ha ha ha ha nmekuamin bas ustume tena pichaNiamini ndio
apo sawaha ha ha ha ha nmekuamin bas ustume tena picha
Shunie pole kwa kutoamniwa na bonny, me hum JF huwa naamini mtu akizungumzia vitu flani kwa sababu unakuwa humfaham mhusika. Ila mnavyobishana hivyo naona km mlikuwa mnafahamiana kona mnazopitia ndo mana bonny amekuwa mbishi snha ha ha ha ha nmekuamin bas ustume tena picha