Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
ha ha ha ha et shunie sikuamin kwel mim namuamin bana nilikua nachangamsha genge tu hapa huyu mke mwemaaaaaaaaaaa kabisaaaa.Shunie pole kwa kutoamniwa na bonny, me hum JF huwa naamini mtu akizungumzia vitu flani kwa sababu unakuwa humfaham mhusika. Ila mnavyobishana hivyo naona km mlikuwa mnafahamiana kona mnazopitia ndo mana bonny amekuwa mbishi sn