Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 519
- 874
Nisikilize mimi achana na wote waliocomment mwanzo, akapige diploma ya macho (Optometry) ipo Mvumi Dodoma, au diploma ya Radiology. Usisahau kuja kunishukuru.Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.
GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F.
DIVISON 3 YA 14.
Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je, anaweza kupata nafasi ya chuo kikuu kweli kwa hapa Tanzania private hasa hasa maana kwa ufaulu ninavouona sidhani kama kwa serikali anaweza kutoboa. Natanguliza shukurani.
NB: Vyuo gani anaweza kujaribu kuomba?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Tatizo watanzania mnapenda maisha mteremko, yaani utakuta mtu anakidiploma amesharidhika. Ndio maana nchi haiendelei.ni kama wewe ndio unafikisha watu mbali kimaisha
😂😂😂😂😂😂kila mtu anawaza tu diploma.Nisikilize mimi achana na wote waliocomment mwanzo, akapige diploma ya macho (Optometry) ipo Mvumi Dodoma, au diploma ya Radiology. Usisahau kuja kunishukuru.
huyo atakua GPA ndogo, sio mchakarikaji, aniazime hivyo vyeti vyakeUhasibu IFM bachelor
Wala hata usijaribu. Utapoteza pesa yako.Ngoja ajaribu jordan,makumila,cbe,green bird ,st john,Marian universty,st mathew .
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
diploma ya meno. 😂😂😂😂kuna familia zimerogwaWala hata usijaribu. Utapoteza pesa yako.
Kama vipi nitumie mimi.
Maana chuo huwezi pata Bachelor hata kwa kuroga..
Akapige diploma ya meno au radiolojia
Huu uzi uishie hapa! Nakazia akasome radiology diploma inatolewa vyuo kama muhimbili, bugando!Nisikilize mimi achana na wote waliocomment mwanzo, akapige diploma ya macho (Optometry) ipo Mvumi Dodoma, au diploma ya Radiology. Usisahau kuja kunishukuru.
Watanzania wanawazaga diploma za afya tu, ndio uwezo unapoishia. Wanapenda kazi mteremko, za kupelekwa kama wanafunzi wa kujaguliwa sekondari. Basi serikali inafurahii sana kuwa na kundi kubwa la watu wa aina hii. Wao watasona kozi za kukutawala.Wanadai hizo kozi wako wachache.Sijui wajukuu zao watasoma kitu gani kipya ambacho kitakuwa na watu wachache
As long as yuko tayari kusoma pharnacy aendepharmacy c anaenda japo ana F ya math ila olevel ana 2 ya 18.F ya Math tu ndio anayo.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Keep it up!!!!Aanze diploma, vyuo vya uhasibu ni vyuo vikuu kabisa, kuna CBE, IFM, TIA, MZUMBE, n.k
Mazingira ya Watanzania wengi ni hohe hahe, atleast kozi za afya unaweza bahatika kupenya bila connection kuliko hizo zenu za tabaka la watawalaWatanzania wanawazaga diploma za afya tu, ndio uwezo unapoishia. Wanapenda kazi mteremko, za kupelekwa kama wanafunzi wa kujaguliwa sekondari. Basi serikali inafurahii sana kuwa na kundi kubwa la watu wa aina hii. Wao watasona kozi za kukutawala.
sixKwani si kahitimu form six, au kahitimu form four? Kama kahitimu form four mpelekeni advance akakue.
aah kwelihaiwezekani coz tcu ndio watakao approve sio chuo kaka awezi pita kwenye mchujo wa TCU
na huko akasomee nnWanaoajiriwa saivi wengi diploma bachelor unakuta wachache wanahitajika kwa ushahidi angalia majina yaliyotoka hivi karibuni .
Kingine akienda diploma kusomea anachokipenda akamaliza anaweza kufanya kazi kisha baadae akajiendeleza either kwa mkopo au kwa kusomeshwa na kampuni husika .
Kingine ni ujuzi anapata experience ya kazi mapema sana so muache aende diploma kama atapenda
asanteBongo lala huyo kiazi hakuna chuo atapata labda india
sasa mkuu vigezo je? make yeye hana phys olevel ? na ada yake ikoje?Nisikilize mimi achana na wote waliocomment mwanzo, akapige diploma ya macho (Optometry) ipo Mvumi Dodoma, au diploma ya Radiology. Usisahau kuja kunishukuru.
vigezo.Huu uzi uishie hapa! Nakazia akasome radiology diploma inatolewa vyuo kama muhimbili, bugando!
Atatumia cheti cha form 4! Form obvious alifanya vizuri