Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,553
- 23,914
Na hautomuelewa kamwe hadi akupige na kitu kizito kichwani.
View attachment 2883518
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sasa mbona tunatidhana aisee 😒Jidanganyee Baadae uje Ulie humu Useme hukujua?
Jamani 😃😃Single mother kwenye moja na mbili
Alisema hana mtotoSingle mother kwenye moja na mbili
What do you mean?!Nahodha Usipoelewa Bahari Mwanzo Wa Kutoa Nanga, Meli Itakuzamisha Mawimbi Yakipamba Moto.
Daaaah umeusema ukweli mchungu!!!!Labda babake alishafariki...
Labda ni deadbeat daddy hajawahi kuwa kwenye maisha yake...
Labda hamfahamu tangu azaliwe...
Labda....
Muulize vizuri akwambie.
Changamoto nyingi za mabinti hutokana na mahusiano yao na baba zao hasa utotoni. Binti aliyetelekezwa na babake (abandonment) au aliyekuwa abused na babake (kingono, kihisia, kimwili...) ana uwezekano mkubwa sana wa kuwa na changamoto nyingi za kisaikolojia huko ukubwani mf. Kutokujiamini, kutokujithamini, hasira zisizo na sababu, utumiaji wa vileo kupindukia, kutafuta kupendwa na kufurahisha wengine kwa gharama yo yote ile, kutojali hata umfanyie nini, kutoamini katika mapenzi ya kweli, kuwa narcissist, kutafuta sana attention; na mengineyo mengi.
Hili ni jambo la muhimu sana. Mwambie akwambie ukweli.
Binti ameshalishwa sumu kuwa baba ako alikukimbia ukiwa mtotoJamani 😃😃
Hafai huyo "fuata maelekezo niliyokupa"Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.
Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa"
Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake yupo hai
Nakubali nakubali 🧢Hafai huyo "fuata maelekezo niliyokupa"
Kwani yeye ni luteni, mbona commanding language.... Piga chini