Ipi TV bora nzuri kati ya Sony, Samsung na LG?Ipi tv nzuri kati ya samsung na Lg 43uf640t na SAMSUNG TV 40INCH J5500 SMART TV
Naona umepotea. Hiyo si siasa.
Ahsante mwana jf kwa ushauri mzuri sana nitauzingatia huoKwenye electronics ili kujua ni kipi kilicho bora zaidi, nenda kwenye jina, kisha teknolojia na mwisho ndipo uende kwenye bei!.
Kwenye TV Sony ni jina kubwa kuliko Samsung na LG, na bei za Sony zimesimama kuliko Samsung na LG, tukija kwenye technolojia, LG wamewatangulia Sony kutoa Curve TV na kisha wakaja Samsung na sasa ndio Sony. Kwenye Teknolojia mpya ya picha bora kabisa inaitwa 4K, LG ndio ametangulia, akafuatiwa na Samsung na ndipo Sony akaingia, ila picha ya Sony ni bora zaidi kuliko LG kuliko na Samsung ni wa mwisho!.
Kama una pesa iliyosimama, nunua Sony, ukipungukiwa nunua LG lakini kama ni mwananchi then ndipo nenda kwenye Samsung!. Screen za Sony ni kioo na LG na Samsung ni LCD.
Top technology ya TV kwa sasa ni UHD zinazotumia 4K, ndipo LED na mwisho ni HDTV.
Pasco
Ahsante isambe kwa kusisitiziaIla kaka Pasco kwenye TV LG,wamejitahidi mno kuliko hao Sony,Sony kwenye sound kwenye level hizi za chini yuko juu,na anongoza kwenye base,technology anayoitunia kutoa mdundo naona wengine hawajaijua
Usije thubutu kununua Sony... Nilinunua mbili kwaajili yangu na mother zote zimekufa na tatizo moja la kuweka marangi rangi utadhani screen imepasuka.... Ni mithili ya pinde za mvua... Nilipeleka kwa dealer wao pale Mnazi mmoja nikaambiwa TV moja kioo chake kipya ni 1.4 M.... Niliwapa watoto wachezee!!!Ahsante mwana jf kwa ushauri mzuri sana nitauzingatia huo
Kuhusu picha, labda unatumia, either flashdisk au xternarnal drive,jaribu kutumia HD cable especially dstv channel, uone matokeo,lakini kama unatumia hizi channels nyingine sio HD,hivyo huwezi enjoyUshauri wangu bora Samsung nishakuwa na Samsung 47 inch picha na sauti nzuri sana kuliko LG ambayo kwa sasa ndio ninayo kwangu 55 inch. Picha na sauti za lg sijapenda mpaka nimekwenda kununua home theater system ndio napata kusikia. Hapa ninampango wa kwenda kuchukuwa 4k best buy next week.
Shukran kwa mchango mzuri wa mawazo,wengi hapa huishia kuangalia majina tu.Kwenye electronics ili kujua ni kipi kilicho bora zaidi, nenda kwenye jina, kisha teknolojia na mwisho ndipo uende kwenye bei!.
Kwenye TV Sony ni jina kubwa kuliko Samsung na LG, na bei za Sony zimesimama kuliko Samsung na LG, tukija kwenye technolojia, LG wamewatangulia Sony kutoa Curve TV na kisha wakaja Samsung na sasa ndio Sony. Kwenye Teknolojia mpya ya picha bora kabisa inaitwa 4K, LG ndio ametangulia, akafuatiwa na Samsung na ndipo Sony akaingia, ila picha ya Sony ni bora zaidi kuliko LG kuliko na Samsung ni wa mwisho!.
Kama una pesa iliyosimama, nunua Sony, ukipungukiwa nunua LG lakini kama ni mwananchi then ndipo nenda kwenye Samsung!. Screen za Sony ni kioo na LG na Samsung ni LCD.
Top technology ya TV kwa sasa ni UHD zinazotumia 4K, ndipo LED na mwisho ni HDTV.
Pasco
Kwenye electronics ili kujua ni kipi kilicho bora zaidi, nenda kwenye jina, kisha teknolojia na mwisho ndipo uende kwenye bei!.
Kwenye TV Sony ni jina kubwa kuliko Samsung na LG, na bei za Sony zimesimama kuliko Samsung na LG, tukija kwenye technolojia, LG wamewatangulia Sony kutoa Curve TV na kisha wakaja Samsung na sasa ndio Sony. Kwenye Teknolojia mpya ya picha bora kabisa inaitwa 4K, LG ndio ametangulia, akafuatiwa na Samsung na ndipo Sony akaingia, ila picha ya Sony ni bora zaidi kuliko LG kuliko na Samsung ni wa mwisho!.
Kama una pesa iliyosimama, nunua Sony, ukipungukiwa nunua LG lakini kama ni mwananchi then ndipo nenda kwenye Samsung!. Screen za Sony ni kioo na LG na Samsung ni LCD.
Top technology ya TV kwa sasa ni UHD zinazotumia 4K, ndipo LED na mwisho ni HDTV.
Pasco
Mkuu mimi nina 47' lg na haishiki free channels,Nakaa mwananyamala?Ila watu wa Samsung naona kama wanazioata hiviUshauri wangu bora Samsung nishakuwa na Samsung 47 inch picha na sauti nzuri sana kuliko LG ambayo kwa sasa ndio ninayo kwangu 55 inch. Picha na sauti za lg sijapenda mpaka nimekwenda kununua home theater system ndio napata kusikia. Hapa ninampango wa kwenda kuchukuwa 4k best buy next week.
Ahsante kwa ushari toziUshauri wangu bora Samsung nishakuwa na Samsung 47 inch picha na sauti nzuri sana kuliko LG ambayo kwa sasa ndio ninayo kwangu 55 inch. Picha na sauti za lg sijapenda mpaka nimekwenda kununua home theater system ndio napata kusikia. Hapa ninampango wa kwenda kuchukuwa 4k best buy next week.
Mkuu habari vp?Kwenye electronics ili kujua ni kipi kilicho bora zaidi, nenda kwenye jina, kisha teknolojia na mwisho ndipo uende kwenye bei!.