Naomba ushahuri wenu tafadhali

Wamekutajia bei kubwa io kwa makusudi wanajua huna uwezo hivyo hawakutaki jiongeze hummmmae
 
Chai nyingine hazina logic kabisa

Harusi ndani ya mwezi mmoja, mahari milioni 6, anayetakiwa kutoa ameshindwa kodi ya nyumba

Mi napita tu
 
Akajiwoweee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya unachoweza ww ndo unajua pocket yako ina sh ngap kaka na sio wao
Wanaume mnashindwa wapi mmmm
 
Konki huwa hatutoi mahari katika kuoa,huwa tunabeba bure.Nakushauri,binadamu auzwi.....cha muhimu ni kupendana na kila mmoja anamuhitaji mwenzake.
 
Asante kwa ushahuri....binti nilishawahi kumjua
 
Nalifanyia kazi wazo hili asante
 
Hahahaha. Wanaume tunapitia changamoto wakati mwingine. Nimelileta kwenu mnisaidie mawazo. Bado nina muda wa maamzi. Nimemweleza baba yangu mzazi kuwa majibu ya ndoa nitayatoa muda s mrefu
 
Hata kama ni bikira
 
Mkuu kwanini umetusilimu? Au ulimaanisha kutusalimu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…