Aidan Kabakamas
Member
- Dec 22, 2016
- 41
- 24
Habari za wakati huu wakuu. Nawasalimu sana.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi "Naomba Ushauri Wenu Tafadhali".
Nina mchumba ambaye nimekwisha posa na kujitambulisha nyumbani kwao. Tumepanga kuoana mwezi wa saba.
Kwa bahati mbaya kwa sasa ninapitia kipindi kigumu kifedha, kiasi cha kushindwa kutimiza maandalizi ya ndoa na harusi.
Bado sijalipa mahari ( nimetozwa ndefu kidogo 6Millioni), na kiukweli kwa sasa hata kodi ya nyumba inanikimbiza. Mbaya zaidi binti ameshawatangazia watu wake wa karibu na kuwapa kadi za harusi.
Wazee nao wanasema walau nilipe milioni 3 kwanza ndo mambo yaendelee.
Nimejaribu kumwabia tufunge ndoa ya kawaidi (bila harusi) lakini binti, wazazi (wangu na wake) hawako tayari.
Ninaotamani kuomba kuahirisha lakini roho inakataa. Nifanyeje?
Asanteni