Naomba ushahuri: wataalamu wa spiker na midundo

Naomba ushahuri: wataalamu wa spiker na midundo

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boom3?
 
Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boomkwahiyo
 
Kwahiyo hata charge 5 upatei Labda ufosi ila Kwa ushauri wangu

Nunua hi Fi old speaker Nimeona pale mikocheni Kuna jamaa wanauza Sony,LG za mtumba zinapiga sound safi ila nyingi hazina Bluetooth Zinatumia aux n'a flash ukipata fundi mtu anakuwekea Bluetooth unakula maisha Zina around 280K -600K up to
 
Hao jamaa hawana jina?

Ukiwa na port ya aux, unachofanya ni kuchomeka adapter yenye uwezo wa kureceive na kutransmit kwa njia ya bluetooth
 
Nimeunguza card ya spika hiyo ya sunda naweza pata wapi?
 
Attachments

  • IMG_20240908_112403_771.jpg
    IMG_20240908_112403_771.jpg
    595.3 KB · Views: 14
  • IMG_20240908_112433_427.jpg
    IMG_20240908_112433_427.jpg
    578.7 KB · Views: 9
  • IMG_20240908_112418_721.jpg
    IMG_20240908_112418_721.jpg
    559.3 KB · Views: 11
  • IMG_20240908_112330_200.jpg
    IMG_20240908_112330_200.jpg
    989.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom