Naomba updates kuhusu Helikopta ya Tunduma

Sep 26, 2014
82
22
Habarini wadau,

kwa mwenye mwendelezo wa info za kale ka helikopta kalikotengenezwa hapa nchini taarifa za uzinduzi wake zimefikia wapi atujuze au na kenyewe bado kanafanyiwa uhakiki?
 
Ile helicopter ilikuwa inahatarisha usalama wa muundaji na wa raia wengine. Bora Mamlaka ya anga walizuia utengenezaji wake
 
Hahahahaha aiseee kipindi kile ilikuwa ukitoa mawazo kama haya unaonekana hauna uzalendo.....
 
helicopter, science sio siasa au sanaa ya maigizo. Science ni science na kitu pekee ambacho kinathibitisha maarifa ya mwanadamu aliyopewa na Mungu. Science ya helicopter ipo kwenye kuruka, kutua na kuelekea angani hivyo vingine kila mtu anaweza kuvifanya...
 
Siku atakapoelewa maana ya Science of Aerodynamics ndio atajua kuwa waliobuni vyombo vyote angani hawakuanzia kuchomelea nondo na mabati bali walianza na kufikiria nini kinaifanya helicopter ipae..
 
Mkuu
Hayo uyasemayo ni kweli lakini sio hao wa tunduma!
Fuatilia ile ya Arusha utaona logic iliopo!
 
Siku atakapoelewa maana ya Science of Aerodynamics ndio atajua kuwa waliobuni vyombo vyote angani hawakuanzia kuchomelea nondo na mabati bali walianza na kufikiria nini kinaifanya helicopter ipae..
Hiyo ndio maana kamili nafikiri angeweza kunukuu unalolisema angeacha kujidanganya na kupoteza muda wake.
 
Back
Top Bottom