Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Habarini wana JF wenzangu...
Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology (EP), Curriculum (CT), Educational Measurement and Evaluation (EP) n.k
Sasa nipo njiapanda sielewi nikasome nini katika Masters degree kati ya Maths au hizo courses zingine za elimu (zipo nyingi unaweza nitajia moja ambayo ungenishauri nikaspecialize).
Naomba ushauri wako nikasomee nini hasa kwakuzingatia ipi inauzika yaani "Marketable" hapo baadae baada yakumaliza hio masters degree.
Natanguliza shukurani.