Naomba unisamehe sana my ex girl Veronica

Habari za muda huu wana Jf matumaini yangu wote muwazima wa afya.
Lengo kuu la kuanzisha huu uzi ni kutaka kumuomba msamaha girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana takribani miaka 7 iliyopita. Sio kwamba nina nia ya kutaka turudiane hapana bali nimeamua kuja kutoa dukuduku langu hapa hata kama yupo humu aweze kusikia kwa sababu nahisi tukio linaniumiza kisaikolojia.

Nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi December 2013 mimi na mpenzi wangu veronica hiyo siku nakumbuka tumetoka maeneo ya bamaga sinza tukaenda hotel moja inaitwa travertine ipo maeneo ya magomeni usalama. Tukawa tumeingia zetu ndani tukachukua room pale kwa ajili ya kupumzika. Mara kidogo kukatokea kaugomvi kati yetu tuligombana baada ya kukuta text kwenye simu yangu ambayo alihisi ni ya mwanamke mwingine, basi kaugomvi kakasababisha hadi akaamua kuninyima utamu yaani alininyima papuchi ilifika hatua kila nikiwa nataka kumshika sehemu basi anapiga kelele balaa hadi wahudumu wa hotel wanakuja kutugongea kwamba tunapokuwa tunafanya basi tucontrol hisia maana sauti zinasikika hadi kwa wateja wengine. Daaah yani likawa haipiti nusu saa yule mhudumu anakuja kutuambia tupunguze kelele tunaponyanduana kumbe wapi mwenzie sinyandui wala nini bali nanyimwa mgegedo.

Baada kama ya masaa matatu ya vuta nikuvute bila mafanikio yeyote basi nakumbuka ilikuwa kwenye mida ya saa 6 usiku nikaamua kuondoka zangu kule hotelini ili nikapande gari nirudi home, nikiwa natembea zangu kwa unyongeeee kwa kunyimwa mzigo ile namalizia ngazi ya mwisho chini nikasikia sauti ikiniita babumawe please maramoja nikageuka alikuwa veronica akanambia naomba unisikilize nikasimama kwa umakini nikawa namsikiliza anataka kunambia nini, basi akanisogelea kwa upole na kunambia anaomba nimlipie chakula ale kwani alikuwa na njaa na alikuwa hana hata senti tano na pia kama hela ya room sijatoa alikuwa anaomba nitoe maana yeye hana hela.

Nikamwambia tushuke chini usijali huku moyoni nikijisemea huyu si ameninyima mzigo basi tutaona leo, kwenye ile hotel kwa chini kuna huduma ya vyakula sasa tukafika tukakaa nikamwambia agiza unachotaka, akaagiza zake chipsi na kuku sekera mishikaki pamoja na juice ya matunda. Pindi anakula nikamwambia ngoja nitoe hela kwa M - PESA kwa nje kidogo, kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka zangu ili kumuacha pale. Baada ya dakika 25 alipiga sana simu lakini nilikuwa nazitazama huku nikijisemea kimoyomoyo " si unajifanya ndege mjanja sasa utajutia leo" nilizima simu na sikuona umuhimu wowote kutoka kwake maana niliona amenidhalilisha sana kwa kuninyima mzigo.

Sasa basi hadi leo hii sijajua gharama ya hotel alilipa vipi na vile vyakula alivyokuwa anakula alivilipaje.
Mwisho wa yote nimeona leo niandike hii kitu popote ulipo my ex veronica nakuomba msamaha kwa tukio nililokufanyia mie ni binadamu kama binadamu wengine sometimes tunakosea, najua unaweza ukawepo humu my beautiful ex girlfriend veronica. hivyo basi popote utakaposikia hama utakaposoma hii thread naomba unisamehe sana sio kwamba nahitaji turudiane hapana ila tu ni tukio ambalo halitokagi kwenye saikolojia yangu.

AHSANTE
Ulifanya vizuri....msamaha wa nini..songa mbele mzee.
 
Umefanya vizuri sana.....wanawake inabidi wajiongeze. Hakuna kitu nachukia kama mwanamke mzigo. Jitu linajileta sehemu halina hata nauli, hapo hapo anapanga kuja kukukomoa kwa kula sana na kujamba tu.
 
Japo sijasoma mwanzoni ila tabia ya kukimbia mademu kwenye bill sio sifa. Kimbia malaya, sio demu ambaye unataka awe official Kazi yako.

Kwa ujumla wake kukimbia bili ni upumbavu tu.

Ukisha fanya order kwa yeyote kwamalengo utalipa ... basi nikulipa tu.

Uungwana ni vitendo
 
Kuna wale wa kuitiana vibasi, unamuita demu mwenyewe anakuletea behewa la mashoga zake...Hao kuwakimbia hata Mungu anabariki mzee!
 
Habari za muda huu wana Jf matumaini yangu wote muwazima wa afya.
Lengo kuu la kuanzisha huu uzi ni kutaka kumuomba msamaha girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana takribani miaka 7 iliyopita. Sio kwamba nina nia ya kutaka turudiane hapana bali nimeamua kuja kutoa dukuduku langu hapa hata kama yupo humu aweze kusikia kwa sababu nahisi tukio linaniumiza kisaikolojia.

Nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi December 2013 mimi na mpenzi wangu veronica hiyo siku nakumbuka tumetoka maeneo ya bamaga sinza tukaenda hotel moja inaitwa travertine ipo maeneo ya magomeni usalama. Tukawa tumeingia zetu ndani tukachukua room pale kwa ajili ya kupumzika. Mara kidogo kukatokea kaugomvi kati yetu tuligombana baada ya kukuta text kwenye simu yangu ambayo alihisi ni ya mwanamke mwingine, basi kaugomvi kakasababisha hadi akaamua kuninyima utamu yaani alininyima papuchi ilifika hatua kila nikiwa nataka kumshika sehemu basi anapiga kelele balaa hadi wahudumu wa hotel wanakuja kutugongea kwamba tunapokuwa tunafanya basi tucontrol hisia maana sauti zinasikika hadi kwa wateja wengine. Daaah yani likawa haipiti nusu saa yule mhudumu anakuja kutuambia tupunguze kelele tunaponyanduana kumbe wapi mwenzie sinyandui wala nini bali nanyimwa mgegedo.

Baada kama ya masaa matatu ya vuta nikuvute bila mafanikio yeyote basi nakumbuka ilikuwa kwenye mida ya saa 6 usiku nikaamua kuondoka zangu kule hotelini ili nikapande gari nirudi home, nikiwa natembea zangu kwa unyongeeee kwa kunyimwa mzigo ile namalizia ngazi ya mwisho chini nikasikia sauti ikiniita babumawe please maramoja nikageuka alikuwa veronica akanambia naomba unisikilize nikasimama kwa umakini nikawa namsikiliza anataka kunambia nini, basi akanisogelea kwa upole na kunambia anaomba nimlipie chakula ale kwani alikuwa na njaa na alikuwa hana hata senti tano na pia kama hela ya room sijatoa alikuwa anaomba nitoe maana yeye hana hela.

Nikamwambia tushuke chini usijali huku moyoni nikijisemea huyu si ameninyima mzigo basi tutaona leo, kwenye ile hotel kwa chini kuna huduma ya vyakula sasa tukafika tukakaa nikamwambia agiza unachotaka, akaagiza zake chipsi na kuku sekera mishikaki pamoja na juice ya matunda. Pindi anakula nikamwambia ngoja nitoe hela kwa M - PESA kwa nje kidogo, kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka zangu ili kumuacha pale. Baada ya dakika 25 alipiga sana simu lakini nilikuwa nazitazama huku nikijisemea kimoyomoyo " si unajifanya ndege mjanja sasa utajutia leo" nilizima simu na sikuona umuhimu wowote kutoka kwake maana niliona amenidhalilisha sana kwa kuninyima mzigo.

Sasa basi hadi leo hii sijajua gharama ya hotel alilipa vipi na vile vyakula alivyokuwa anakula alivilipaje.
Mwisho wa yote nimeona leo niandike hii kitu popote ulipo my ex veronica nakuomba msamaha kwa tukio nililokufanyia mie ni binadamu kama binadamu wengine sometimes tunakosea, najua unaweza ukawepo humu my beautiful ex girlfriend veronica. hivyo basi popote utakaposikia hama utakaposoma hii thread naomba unisamehe sana sio kwamba nahitaji turudiane hapana ila tu ni tukio ambalo halitokagi kwenye saikolojia yangu.

AHSANTE
Stupid Boy!! This was inhuman!And then you call yourself a man?! Stiff naked fool!!
 
Eti sa 6 usiku ukaenda kutoa pesa mpesa, wakala gani unampata sa 6 usiku?

Story za kitaahira kama hizi waambie mashoga wenzio, ukizilete kwetu tunakutia dole tu cumamako.
We jamaa kama sio shosti basi unatafuta bwana humu. sasa nakuambia mimi sigongi mashosti sitaki narudia sitaki hiyo zambi. Posti inasema nilimdanganya naenda kutoa pesa wapi ulipoona nimesema nilitoa pesa. Siku nyingine usidakiedakie vitu shwaiiiiiiiiiiin ww

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wale wa kuitiana vibasi, unamuita demu mwenyewe anakuletea behewa la mashoga zake...Hao kuwakimbia hata mungu anabariki mzee!

😀😀😀
Hapo unashughulika na mhusika.

Ukweli anakuwa amefanya makosa

Sababu uungwana nikufanya kwa mujibu wa ahadi.

Kila mtu na shida zake. Sio busara kulisha wasiojulikana maana hawamo kwenye budget.
 
Ina maana ulitaka mzigo wakati ana njaa, uliwezaje kuomba mzigo wakati hujui kama amekula au laa!! Kam alikuwa mpenzi wako basi wewe ulikuwa m'binafsi maana kabla ya kumuingiza room ulipaswa kujua kama amekula, vinginevyo labda kama alikuwa mdangaji na sio demu wako wa siku Zote.
 
Sasa mkuu yeye mwenyewe tumbo lake alikuwa hasikii njaa mpaka nimuulize mimi

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Japo sijasoma mwanzoni ila tabia ya kukimbia mademu kwenye bill sio sifa. Kimbia malaya, sio demu ambaye unataka awe official Kazi yako.
Hata hao mademu official na wenyewe ni malaya tu
Mademu wote malaya tu mpaka wake za watu na wenyewe malaya
Na ndio maana nikikutana na mwanamke ama binti yeyote namchukulia kama malaya maana wote ni wale wale
WENYE UHAFADHARI NI WACHACHE SANA
 
Back
Top Bottom