Naomba unisamehe sana my ex girl Veronica

Naomba unisamehe sana my ex girl Veronica

Japo sijasoma mwanzoni ila tabia ya kukimbia mademu kwenye bill sio sifa. Kimbia malaya, sio demu ambaye unataka awe official Kazi yako.
Eeeh bhna mkuu na wewe unatumia hili neno "Kazi" nimekumbuka kitaa kwangu huku wasukuma ni mwanike mwanike kila mda😂
 
Unaomba msamaha!

Sasa msamaha utasaidia nini hata akikusamehe watu kama nyie hamtakiwi kusamehewa
 
Back
Top Bottom