Naomba unisaidie kushare.

book11

JF-Expert Member
Mar 24, 2017
700
390
Habari zenu wana ndugu, andika kitu unachopenda kushare ukiwa na mpenzi wako.
 
Ku-share as in kutumia pamoja au kimazungumzo kama kushare nae maelezo jinsi siku yangu ilivyoenda?
 
Kila kitu
Nguo,chakula,alichosema Nokia83 hapo juu na vingine vingi
 
Back
Top Bottom