Habari za humu wakuu!! Natumai wote ni wazima na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu, bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika. Wengi wetu tumejikuta tukipoteza namba nyingi za simu za watu wa muhimu na kutozipata tena au kuzipata kwa shida sana . Sasa leo kwa ufupi tutajifunza...