Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Wakuu kuna uzi humu umeelekeza namna ya kupata contacts zako za zamani kwa kutumia facebook, tafadhali mwenye nao anisaidie.
Nisaidie mkuu.Uzi sijui pa kuupata Ila naweza kukuelekeza ukapata contact zote
Tupatie hyo elimu mkuu,Uzi sijui pa kuupata Ila naweza kukuelekeza ukapata contact zote
Bila shaka ni huu.Wakuu kuna uzi humu umeelekeza namna ya kupata contacts zako za zamani kwa kutumia facebook, tafadhali mwenye nao anisaidie.
Mkuu umetisha sana namba nloitaka nmeipata..[emoji120][emoji120][emoji120]Bila shaka ni huu.
![]()
Recover your deleted contacts
Habari za humu wakuu!! Natumai wote ni wazima na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu, bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika. Wengi wetu tumejikuta tukipoteza namba nyingi za simu za watu wa muhimu na kutozipata tena au kuzipata kwa shida sana . Sasa leo kwa ufupi tutajifunza...www.jamiiforums.com