Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #21
yep tena vitafunwa nilianza baada ya watoto wangu kwenda boarding na kunikatalia kusoma, ila plan ilikuwa nisome nipate kazi. Thanks to Mark nimesoma now nina degree na nina kazi.yaani wakati nasoma nilikuwa najisemea 'this s#*t only happens in the movies'
welcome back to zone reality, yaani unakaa miaka yoote unapika vitafunwa! yeleuwiiii
hapana, makataba squre ndo mpango mzimatukutane chinese restaurant
Welcome buddyThanks kwa Story nnazoziita za Kasinde.
Hongera kuwafurahia wamama hao, thank God am no longer one of them, now am working. Nikipika vitafunwa ni vya familia yangu tuu.Hata mimi nawapendaga sana wamama wauza vitafunio. Wako vizuri sana na Wako natural na jasho Lao lililochanganyika na moshi ni kama perfume vile ya Dubao
Hapana, kutii ni bora kuliko dhambi ya uchawi. Mume wangu alinioa nikiwa form six leaver na aliacha nilee watoto na kuhudumia familia bila kuwa na house girls, maana house girls nao ni janga la taifa. Pale watoto walipoenda boarding ndo nilipoomba kusomeshwa na mume wangu nijiendeleze kielimu ila alikataa. Sikumkaidi mume wangu nilimtii badala yake nilianza kupika vitafunwa na kuuza ambayo nayo ilikuwa ni kujituma si kukaa bure. Pale mume wangu alipofariki ndo nikakutana na Mark, kamwe sikuwa namsubiri Mark aniwezeshe la hasha u read me wrong!!alikuwa anasubiri awezeshwe.......
nop just maktaba square2kutane ubungo bus terminal
kwa nini umefikiria wawe mzigo? hii inaonesha ni jinsi akili yako ilivotafsiri hii habari. Funzo ni kuwatii waume maana ningekaidi na kutaka kusomeshwa ingeleta mgogoro kwa mume wangu na hata vitumbua visingepikika. Kuukubali mtaji wa kupika vitafunwa asubuhi pia ni kuridhika na mume wangu anavotaka niende mradi tuu sivunji sheria wala sifanyi dhambi au kumsaliti.Hivi hii stori inawafundisha nini wanawake? wawe mizigo ama?
Thanks kwa kusisimkaIla stori inasisimua kwaupande fulan da!
I think we differ in perceptions.... the way we take issues and the way we see....How do you sleep at night? Being fed, clothed, etc by a man while you just sit your lazy ass?
Bora umeona it was chinese restaurant those years...imefulia now!
It depends to the type of husband u are married with. Others like mine wanted a wife to take care of the family and he will take care of the costs. Until my children grew to secondary school then I started to look for another opportunity but on my husbands permission!!On the contrary. Wachangamke wawe na chao. Maisha magumu na enzi za kutegemeana zilipitwa na wakati.
Hamna hela tamu kama uliyoitolea jasho la halali.
Nilianza kuwa na hela yangu baada ya kuanza kupika vitafunwa.