Mkyamise
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 473
- 607
Imezoeleka ukichukua namba yoyote ukaizidisha kwa yenyewe utapata jibu ambalo ni kubwa kuliko namba yenyewe. Lakini kuna namba nyingine ukiizidisha yenyewe kwa yenyewe unapata jibu ambalo ni pungufu ya namba yenyewe. Mfano 0.004x0.004=0.000016. Kwanini?