Naomba ufumbuzi.

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
454
555
Imezoeleka ukichukua namba yoyote ukaizidisha kwa yenyewe utapata jibu ambalo ni kubwa kuliko namba yenyewe. Lakini kuna namba nyingine ukiizidisha yenyewe kwa yenyewe unapata jibu ambalo ni pungufu ya namba yenyewe. Mfano 0.004x0.004=0.000016. Kwanini?
 
Hizo sheria ni kwenye nmba kamili, sio kwenye desimali na sehemu

Ukizidisha sehemu kwa namba yeyote au decimali kwa namba yeyote ni sawa unaigawanya hiyo namba kwa denominator ya hiyo sehemu au viwango vya desimali vya namba hiyo..
 
Uliona Sifa Kumkimbia Mwalimu Wa Mathematics Pale anapoingia darasani... Sasahivi unashindwa Na Hata Hesabu za darasa la 5 ikisha unataka Tanzania Ya Viwanda na Muendeshaji Ndiyo Kama Wewe WaTZ wa Matheless....
 
Back
Top Bottom